Na THEOFLIDA WA YESU
Naanza kwa kuwasalimu kwa JINA LA YESU. Jina lililo Kuu kupita majina yote.
Wiki
kadhaa zilizo pita, niliandika waraka wangu kwa watanzania na
kuusambaza kupitia blogs na mitandao mbalimbali kuhusu athari
za kujihusisha na masuala ya waganga wa jadi .
Katika waraka
huo niliwatahadharisha watanzania kutojihusisha na WAGANGA WA
TUNGULI kwa sababu WAGANGA WA TUNGULI ni WACHAWI NA MAWAKALA WA
SHETANI walio vaa kofia ya utabibu.
KUUSOMA WARAKA HUO, TAFADHALI TEMBELEA
:http://shuhudazaajabu.blogspot.co.ke/2016/07/ushuhuda-nilimlisha-mume-wa-mtu.html
:http://shuhudazaajabu.
Katika
waraka huo niliwaelezea watanzania jinsi nilivyo shawishika
kutafuta msaada wa maisha yangu kwa MGANGA WA TUNGULI aitwae
MUNGU WA KABILI na kujikuta nikipata matatizo makubwa ambayo
hata hivyo yalipelekea kunikutanisha na YESU ambae ameniokoa.
Katika waraka huo nili sahau kueleza mambo makuu mawili yafuatayo:
Kwanza
nilisahau kuweka mawasiliano ya MUNGU WA KABILI ayatumiayo
pindi anapokuwa nchini KENYA ili kuwa tahadharisha wakenya
wasipige namba hiyo wala wasijaribu kutafuta msaada kwenye
namba hiyo, kwa sababu mtu huyo ni WAKALA WA SHETANI alie
jificha kwenye kivuli cha UGANGA...
Wengi walio
jaribu kutafuta msaada kwa MUNGU WA KABILI wamejikuta wakiishia
kuunganishwa na UTAWALA WA KUZIMU ambao umewapelekea kujikuta
katika matatizo makubwa kama niliyo yapata mimi.
Nimeona
vyema kuwatahadharisha wakenya, kwa sababu mungu wa kabili
hufanya kazi zake Tanzania na Kenya. Anapokuwa Tanzania, namba
yake huwa ni + 255 744 000 473 na anapokuwa Kenya , namba yake huwa ni + 254 704 71 61 59.
Hivyo basi Ndugu zangu Wakenya , hii ni tahadhari yangu kwenu. Nimeweka
namba hizo hapo juu kama alama ya MPINGA KRISTO ambayo watu
wote wenye hofu ya Mungu wanapaswa kuepukana nayo..
Nimeongozwa
katika namna ya rohoni, kuanza kufanya kampeni ya nguvu dhidi
ya roho ya kuhusudu masuala ya UGANGA, UCHAWI NA USHIRIKINA na
nitajikita zaidi katika mapambano dhidi ya MGANGA WA JADI
AITWAE MUNGU WA KABILI.
Ninaanza kwa kupambana
na MUNGU WA KABILI kwa sababu, kwa miaka zaidi ya mitatu
ambayo nimekuwa nikishirikiana na MUNGU WA KABILI, nimeweza
kujua kuwa yeye ndio MKUU WA WAGANGA NA WACHAWI WOTE WA
AFRIKA MASHARIKI NA KATI , na watu wenye hekima wanasema
katikati ya kundi la kondoo MPIGE RUNGU MCHUNGAJI, NA KONDOO
WOTE WATATAWANYIKA.
Naamini
nikimsambaratisha mungu wa kabili, basi itakuwa rahisi kwa
waganga wengine kwa sababu wote ni kama wafuasi wake tu.
Katika kampeni yangu hii ya kiroho, nimeanzisha blogu iitwayo SHUHUDA ZA AJABU ambayo inapatikana : www.shuhudazaajabu.blogspot.com .
Nitakuwa
nikitoa shuhuda za mambo mbalimbali ya kichawi niliyo fundishwa
na MUNGU WA KABILI na jinsi unavyo weza kujiepusha nayo kwa
kutumia Jina la Yesu.
Najua kazi hii
itainua uadui mkubwa dhidi yangu, kwa sababu hakuna kitu
wachawi wanakichukia kama siri zao kutolewa hadharani, lakini kwa
Jina la Yesu, nitapambana vita hii na nitaishinda.
Shuhuda
nitakazo zitoa, zitakuwa na mafundisho mazuri yatakayo kupa
faida , kama Mungu anavyo sema katika kitabu cha ISAYA 48
kwamba " MIMI NI MUNGU NIKUFUNDISHAE ILI UPATE FAIDA'.
Ushuhuda
huu utakufanya umjue shetani vizuri kama wasemavyo watu wenye
hekima " MJUE ADUI YAKO KAMA UNAVYO IJUA NAFSI YAKO"
JAMBO
LA PILI na la msingi ambalo sikuweza kulielezea kwa kina
katika waraka wangu wa kwanza ni namna ambavyo MUNGU WA
KABILI alinifundisha uchawi na uganga...
Nianze kwa
kurudisha kumbukumbu zenu nyuma. Kama mlifatilia vizuri waraka
wangu mtakuwa mnakumbuka kuwa, kwa kutumia uchawi nilio pewa na
MUNGU WA KABILI, nilifanikiwa kuteka na kudhulumu mali za
mwanaume mume wa mtu aitwate " K".
Mali hizo zilikuwa ni pamoja na maduka mbalimbali ya biashara ambayo nilimkabidhi mdogo wangu ayasimamie.
Kutokana
na usimamizi wa hovyo ulio fanywa na mdogo wangu, maduka hayo
yakaanza kufilisika taratibu. Hali hii ilinifanye niende kuomba
msaada wa MUNGU WA KABILI.
Mungu wa Kabili
akaniambia kuwa mimi siwezi kufanikiwa kupitia biahsra yoyote
hata iweje. Mungu wa Kabili akaniambia , Nina nyota ya Uganga "
kwa hiyo ninatakiwa kuwa mganga.
Sikuwa na jinsi
zaidi ya kukubaliana nae kwa sababu nilishamfanya kuwa kama
muungu wa maisha yangu. Nilitii na kufuata kila alicho kisema.
Ikapangwa
siku rasmi ya mimi kusimikwa uganga kisha baada ya kusimikwa
uganga ndipo nianze kufanya kazi ya kuwaagua watu wenye shida,
tabu na matatizo mbalimbali ya kimaisha.
Zoezi
la kunisimika uganga rasmi lilikamilika ambapo nilikabidhiwa
nyenzo za uganga pamoja na jina la kazi, baada ya hapo, mungu
wa kabili akaniambia, nitaanza kufundishwa uganga, lakini akasema,
kabla ya kuujua uganga ninatakiwa kuujua kwanza uchawi, kwa
nadharia na vitendo. Hapo ndipo ninaposema siku zote kuwa MCHAWI
NA MGANGA LAO MOJA.
mungu wa kabili
aliniambia ' UCHAWI NI SAYANSI YA SIRI YENYE MRENGO WA UFISADI (
YANI MLENGO WA UHARIBIFUI ) Ilihali UGANGA NI SAYANSI YA SIRI
YENYE UWEZO WA KUPAMBANA ATHARI ZA NGUVU YA SAYANSI YENYE
MLENGO WA UFISADI.
mungu wa kabili akaniambia,
ili niwe na uwezo wa kupambana na uchawi ni lazima kwanza
niufahamu uchawi vizuri kwa nadharia na vitendo , kisha baada ya
hapo nitafundishwa kuhusu mbinu za kupambana na uchawi ambao
kwa mujibu wa mungu wa kabili, ndio huo uganga wenyewe..
Nilifundishwa
vitu sana katika uchawi, kuanzia jinsi ya kuroga ukoo mzima,
kufanya watoto wasikue, kutengeneza ukimwi wa kichawi, kuvunja
ndoa, kutengeneza radi, nyoka, simba n.k, kusafiri na aina tatu za
ungo wa kichawi, kutengeneza na kuzuia mvua, kuchukua misukule,
kutengeneza magonjwa mbalimbali kwa watu, mimea na mifugo,
kutengeneza chuma ulete, kutengeneza majini,kuingia mikataba na
majini & mizimu, kuwafunga watu vifungo vya kichawi vya aina
mbalimbali nakadhalika....
IJUWE SIRI YA MALI NA UTAJIRI KWA NDAGU NA MAJINI PIA ASILI YAKO.
ReplyDeleteKATIKA SAFARI YA MAFANIKIO TUNAPITIA MENGI ILI TUWEZE KUFANIKIWA LAKINI WENGI WETU KUNA MAMBO MACHACHE SANA WENGI WETU TUNAYADHARAU NA KUMBE NDIO CHANZO CHA MAFNIKIO YETU.
N.B KWA WALE WAHITAJI WA PESA ZA NDAGU au MAJINI kwa mudamfupi nipigie DOKTA MDIRO +255 742162843
HAYA NI MAMBO 7 YAKUZINGATIA KATIKA SAFARI YAKO YA MAFNIKIO
i) Wazazi wako wakiwa wamekulea mpaka ukawa mkubwa wafumbua macho unawaona akikisha usiwafanye wakajuta kukuzaa asilimia kubwa wazazi wanakuwa na tabu sana ila zile tabu zao ndio zinazokufanya wewe una aminiwa na watu na unaeshimika na kujieshimu
Kwaiyo jitahidi sana kuwa nao vizuri kuna wengi maisha yao wanaishi kwa shida chanzo ni utofauti baina ya wazazi wao
Ukiona wazazi wako wanatabu sana usiwajibu vibaya wewe kaa nao mbali ila wape majukumu yao unacho fanya kuwaona nakurudi ulipo apo utaona mambo yako yatakuwa vizuri sana
ii) JAMBO LA PILI
Akikisha unatunza uzao wako yani ukijua ni mtoto ni wako basi jitahidi sana kutoa uduma ata kidogo ulicho nacho lakini udumia usiache uzao wako unateseka na njaa wewe una kula maisha aisee fahau
Kila mtoto wako anavyo kuwa ndio mambo yako yanaaribika usipo udumia kwaiyo ukiwa waitaji kufanikiwa zaidi jali uzao wako
iii) JAMBO LA TATU
ukiwa umeoa au umeolewa usitoe talaka au kuomba talaka kabla mwenzio ayupo tayari kwa muda huo fahamu ukiomba talaka au akikupa talaka bila bila sababu ya msingi yeye tu ana matamanio ya kidunia basi anamuda atapoteza muelekeo wa maisha yake
iv) UKIWA WAPATA PESA
ukiwa wapata pesa alafu utoi sadaka basi kufikia kwenye ukuu utachelewa sana mana mana pesa badala ya kutoa kwa iyari yako utatoa kwa matatizo kwaiyo jitahidi icho icho kidogo toa sadaka kwa wenye uitaji
v) USIMZULUMU MTU
kama wataka kufika mbali kwenye mafanikio yako usimzulumu mtu ata kwa uchache wa kitu usifanye ivyo itakugarimu kiasi kikubwa
vi) USIZARAH MILA
ukiwa kwenu kuna mambo ya mila mzimu tambiko jitahidi kufatilia sana aya mambo yanarudisha nyuma sana usipo yawahi mapema
vii)USIWE WA NAMNA
1)ikiwa ujafanikiwa jitahidi sana usiwe mvivu kufanya kazi usiwe muhuni usiwe mwenye chuki na asira zisizo za msingi usiwe na tamaa nyoa vizuri vaa nguo za eshima na usiige maisha ya watu.
KWA MAWSILIANO ZAIDI KUHUSU MATATIZO MBALIMBALI YA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA, PETE MALI ZA NDAGU NA MAJINI N.K
DOKTA MDIRO Call/whatsup +255 742162843.