Mtakwimu
Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa wa wajumbe kutoka NBS, akiongoza
kikao cha Wakuu wa Takwimu kwa nchi wanachama wa Jumuiya Maendeleo ya nchi za
Kusini mwa Afrika (SADC), kilichojadili kuhusu itifaki ya takwimu za nchi hizo,
kikao hicho kilifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimtaifa Julius Nyerere,
Jijini Dar es Salaam kwa njia ya video leo Juni 12, 2020..
Wajumbe wa Kikao cha Takwimu cha nchi za
SADC kutoka Tanzania wakiongozwa na
Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina
Chuwa( wa kwanza kulia), wakiwa katika kikao hicho kilichofanyika katika Kituo
cha Mikutano cha Kimtaifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya
video leo Juni 12, 2020..
Mtakwimu
Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa, akizungumza jambo kwa wajumbe wa
kikao cha Wakuu wa Takwimu kwa nchi za SADC (kama inavyoonekana kwenye picha)
kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimtaifa Julius Nyerere, Jijini
Dar es Salaam kwa njia ya video leo Juni 12, 2020.
Mtakwimu
Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa, akizungumza jambo kwa wajumbe wa
kikao cha wakuu wa takwimu kwa nchi za SADC, kilichofanyika katika Kituo cha
Mikutano cha Kimtaifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya video
leo Juni 12, 2020.
0 comments:
Post a Comment