METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, February 6, 2020

WADAU WA MASUALA YA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO WAKUTANA KUJADILI UTEKELEZAJI WA MTAKUWWA

Mratibu wa Taifa wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA) Bi. Happiness Mugyabuso akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha siku mbili cha kujadili mpango huo kilichofanyika Ukumbi wa mikutano wa Flomi hotel Morogoro tarehe 6 Februari, 2020.
Mkurugenzi Mtendaji kutoka TECDEN (Tanzania Early Childhood Development Network) Bw. Bruno Ghumpi akifafanua jambo wakati wa kikao cha kujadili utekelezaji wa Mpango Kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto kilichofanyika Februari 6, 2020 katika Ukumbi wa mikutano wa Flomi hotel Morogoro.
Mratibu wa MTAKUWWA kutoka Wizara ya Elimu, Bi. Sylvia Chinguwile akifafanua jambo wakati wa kikao kazi hicho.
Mratibu wa Taifa wa Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA) Bi. Happiness Mugyabuso (katikati) pamoja na Katibu wa kikao hicho Bw. Mwendesha Makelemo na Mratibu wa Mpango huo kutoka TAMISEMI Bi. Mwajina Lipinga (wa kwanza kushoto) wakifuatilia hoja za kikao hicho.
Afisa Maendeleo kutoka Wizara ya AfyaMaendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Emmanuel Burton akiwasilisha mada kuhusu mila na desturi zinazowagandamiza watoto na wanawake wakati kikao hicho.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com