Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli akiwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.Kufunga Maadhimisho ya Wiki ya Sheria iliyoanza Februari 01, 2020 na leo Februari 06, 2020 zimehitimishwa rasmi Jijini hapa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli akihutubia Viongozi na wafanyakazi wa Mahakama ya Tanzania katika hafla ya kufunga wiki ya Sheria iliyoanza Februari 01, 2020 na leo Februari 06, 2020 imehitimishwa rasmi katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai,akizungumza katika hafla ya kufunga wiki ya sheria iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, na kulia waliokaa ni Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Dkt. Eliezer Feleshi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga na Viongozi wa Mahakama katika Maadhimisho ya Wiki ya Sheria iliyoanza Februari 01, 2020 na leo Februari 06, 2020 imehitimishwa rasmi katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere
Jijini Dar es Salaam.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma (mbele kushoto) akiwa na Mjaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania tayari kwa ukaguzi wa Gwaride katika hitimisho la Maadhimisho ya Wiki ya Sheria, hafla ambayo ilifanyika leo Februari 6, 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.
Askari wa Jeshi wa Polisi wakiwasili uwanjani tayari kwa Gwaride la kuhitimisha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, akiwa tayari kukagua gwaride katika hitimisho la Maadhimisho ya Wiki ya Sheria, hafla ambayo ilifanyika leo Februari 6, 2020 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment