METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, February 3, 2020

JPM, NENDENI MKATANGULIZE UZALENDO KWANZA

Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Wizara ya Nishati na Wizara ya Ardhi, Makamishina wa Jeshi la Magereza na Zima moto na Viongozi wengina wa Serikali wakiwa katika hafla ya kuapishwa kwao Ikulu Jijini Dar es Salaam, baada ya kuteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais Dkt.John Pombe Magufuli. 
Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais Dkt.John Pombe Magufuli, akimuapisha Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi, Zena Ahmed Said, katika hafla ya kuwaapisha viongozi aliowateuwa hivi karibuni iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, Februari 03, 2020.
Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais Dkt.John Pombe Magufuli, akimuapisha Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Prof. Riziki Shemdoe, katika hafla ya kuwaapisha viongozi aliowateuwa hivi karibuni iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, Februari 03, 2020.
Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais Dkt.John Pombe Magufuli, akimuapisha Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, katika hafla ya kuwaapisha viongozi aliowateuwa hivi karibuni iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, Februari 03, 2020.
Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais Dkt.John Pombe Magufuli, akimvisha Kofia amishina wa Jeshi la Magereza, Brigedia Jenerali, Suleiman Mzee, mara baada ya kumuapisha katika hafla ya kuwaapisha viongozi aliowateuwa hivi karibuni iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, Februari 03, 2020.
Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais Dkt.John Pombe Magufuli, akimvisha Cheo kipya Kamishina wa Jeshi la Zima moto, DCP John Wiliam Masunga, kabla ya kumuapisha katika hafla ya kuwaapisha viongozi aliowateuwa hivi karibuni iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, Februari 03, 2020.
Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Rais Dkt.John Pombe Magufuli, akisisitiza jambo kwa viongozi wa Wizara mbalimbali na Taasisi za Serikali mara baada ya kuwaapisha Ikulu Jijini Dar es Salaam, Februari 03, 2020.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com