METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, February 3, 2020

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WABUNGE, BUNGENI JIJINI DODOMA FEBRUARY 3,2020

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI,  Jesephat Kandege bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Hussein Bashe, bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (kulia), bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020. Wa tatu kulia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,  Abdallah Ulega na wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba. 
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com