Mh Naibu waziri Omary Mgumba Akiwa Katika Moja ya Shamba lake Kitongojini Misala Mkuyuni Morpgoro (V) Akiwajibika kupanda miende na mihogo katika kipindi hiki cha mvua za vuli leo baada ya kupiga kura kwenye uchaguzo wa serikai ya vijiji na mitaa.
Piahe naibu waziri aliwahimiza wanchi hususani wakulima nchi nzima kuzitumia vizuri mvua zinazoendelea kunyesha kupanda mazao mbalimbali hususani ya vyakula na matunda katika kukabiliana na usalama wa chakula na lishe nchini.
Mhe naibu waziri amemaliza ziara yake ya siku saba Jimboni kushiriki uchaguzi na kusimamia shugjuli zake za kilimo shambani kwake pamoja na kuhimiza shuguli za kilimo Jimboni na mkoani Morogoro kwa ujumla.
0 comments:
Post a Comment