Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais
Edgar Lungu wa Zambia kwenye Hafla ya kuapishwa Rais Mpya wa Botswana
Dkt. Mokgweetsi E. K. Masisi iliyofanyika leo Novemba 01, 2019 katika
Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Botswana Indoor Arena Jijini Gaborone Botswana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Edgar Lungu wa
Zambia na Rais Emmason Mnangagwa wa Zimbabwe wakishuhudia wakati Rais
Mpya wa Botswana Dkt. Mokgweetsi E. K. Masisi alipokuwa akila kiapo
kuiongoza Nchi hiyo leo Novemba 01,2019 kwenye ukumbi wa Chuo Kikuu cha
Botswana Indoor Arena Jijini Gaborone Botswana
Rais Mpya wa Botswana Dkt.
Mokgweetsi E. K. Masisi akihutubia Viongozi wa Nchi mbalimbali na
Wananchi wa Botswana Baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Nchi hiyo leo
Novemba 01,2019 kwenye ukumbi wa Chuo Kikuu cha Botswana Indoor Arena
Jijini Gaborone Botswana. (Picha
na Ofisi ya Makamu wa Rais)
0 comments:
Post a Comment