Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista
Mhagama akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao chake na Menejimenti ya
ofisi yake na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali
Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la hilo,
kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma Oktoba
30, 2019.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri (Bunge
na Waziri Mkuu) Bw.Tixon Nzunda akichangia hoja wakati wa kikao cha
Menejimenti ya ofisi yake na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango
wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la
kuhamia Dodoma, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hazina
Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista
Mhagama akichangia jamboi wakati wa kikao chake na Menejimenti ya ofisi
yake na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia
Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma,
kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa kikao kazi
cha Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Kikosi kazi cha Taifa
cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili
mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma wakifuatilia mada zilizowasilishwa
wakati wa kikao hicho, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
Hazina Jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa kikao kazi
cha Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Kikosi kazi cha Taifa
cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili
mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma wakifuatilia mada zilizowasilishwa
wakati wa kikao hicho.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akichangia hoja wakati wa
kikao kazi cha Menejimenti ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Kikosi kazi
cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga
kujadili mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma.
Katibu wa Kikosi kazi cha Kuratibu
zoezi la Serikali kuhamia Dodoma Bw. Mershach Bandawe akiwasilisha
taarifa ya Saba ya zoezi la Kuhamia Dodoma na Ujenzi wa Mji wa Serikali
Awamu ya Kwanza wakati wa kikao hicho.
Katibu wa Kikosi kazi cha Kuratibu
zoezi la Serikali kuhamia Dodoma Bw. Mershach Bandawe akiwasilisha
taarifa ya Saba ya zoezi la Kuhamia Dodoma na Ujenzi wa Mji wa Serikali
Awamu ya Kwanza wakati wa Kikao kazi cha Kujadili Mpango wa Serikali
kuhamia Dodoma na Mwenendo wa zoezi hilo kilichoongozwa na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu ((Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama.
Mwenyekiti wa Timu ya Kutengeneza
Mpango Kabambe wa Jiji la Dodoma Prof. John Lupala akiwasilisha mpango
huo wakati wa kikao cha Menejimenti ya ofisi yake na Kikosi kazi cha
Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga
kujadili mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma, kilichofanyika katika
Ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
0 comments:
Post a Comment