Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza wakati alipofungua Kongamano la Biashara na Wakandarasi kwa
Kanda ya Kusini lililofanyika kwenye ukumbi wa Tawi la Benki Kuu-
Mtwara, Novemba 18, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela
wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mtwara ambako alifungua
Kongamano la Biashara na Wakandarasi kwa Kanda ya Kusini lililofanyika
kwenye ukmbi wa Tawi la Benk Kuu – Mtwara, Novemba 18, 2019.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano
la Biashara na Wakandarasi kwa Kanda ya Kusini wakimsikiliza Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipofungua Kongamano hilo kwenye ukumbi wa
Tawi la Benki Kuu- Mtwara, Novemba 18, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
0 comments:
Post a Comment