METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, October 10, 2019

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA MPANDA KATAVI MKOANI RUKWA



Kwaya ya Manispaa ya Sumbawanga ikitumbuiza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika uwanja wa Azimio mkoani Katavi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Mpanda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Azimio Mpanda mkoani Katavi kwa ajili ya kuwahutubia.
Kwaya ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mpanda Girls wakitumbuiza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili uwanjani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Azimio Mpanda mkoani Katavi.
6.Wanakwaya ya Agape wakitumbuiza katika uwanja wa Azimio Mpanda mkoani Katavi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili uwanjani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi kuwaaga mara baada ya kuhutubia katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Azimio Mpanda mkoani Katavi.
PICHA NA IKULU
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com