METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, September 16, 2019

ZIARA YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU MALINYI, MOROGORO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasalimia  na Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Majura Kasika, kwenye jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi, mkoani Morogoro, Septemba 16.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi, wa jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi, mkoani Morogoro, Septemba 16.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya kukagua na kuweka jiwe la msingi, la jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi, mkoani Morogoro, Septemba 16.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Share:

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © 2025 WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com