Mbunge wa Jimbo la Vwawa
(CCM) na Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga akiwasilisha taarifa ya
utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi katika Jimbo la Vwawa kuanzia
Disemba 2015 mpaka Septemba 2019 wakati wa mkutano mkuu wa Jimbo la Vwawa
Mkoani Songwe, leo tarehe 28 Septemba 2019. (Picha Zote Na Mathias Canal,
Wizara ya Kilimo)
Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe wakifatilia hotuba ya Mbunge wa Jimbo la Vwawa (CCM) na Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi katika Jimbo la Vwawa kuanzia Disemba 2015 mpaka Septemba 2019, leo tarehe 28 Septemba 2019.
Sehemu ya wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe wakifatilia hotuba ya Mbunge wa Jimbo la Vwawa (CCM) na Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi katika Jimbo la Vwawa kuanzia Disemba 2015 mpaka Septemba 2019, leo tarehe 28 Septemba 2019. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Mbunge wa Jimbo la Vwawa (CCM) na Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi katika Jimbo la Vwawa kuanzia Disemba 2015 mpaka Septemba 2019 wakati wa mkutano mkuu wa Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe, leo tarehe 28 Septemba 2019.
Mbunge wa Jimbo la Vwawa (CCM) na Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga akicheza ngoma ya jadi wakati wa mkutano wa uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi katika Jimbo la Vwawa kuanzia Disemba 2015 mpaka Septemba 2019 wakati wa mkutano mkuu wa Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe, leo tarehe 28 Septemba 2019.
1.0 UTANGULIZI:i
Kila
baada ya muda fuLani ni utaratibu wa kikanuni wa Chama Cha Mapinduzi
kuwasilisha mbele ya mkutano mkuu wa Jimbo utekelezaji wa ILANI ya chama kwa
kipindi fulani. kwa miaka karibu minne Mh. Japhet Ngailonga
Hasunga Mbunge wa Vwawa ametekeleza ilani kwa njia zifutazo:-
(i) Fedha za kutoka serikali kuu kwa ajili
ya miradi mbalimbali,
(ii) Fedha za makusanyo ya ndani ya
halmashauri kwa ajili ya miradi mbalimbali;
(iii)
Fedha za mfuko wa Jimbo kutoka
serikali kuu
(iv)
Fedha kutoka mfukoni kwa mbunge
(v) Fedha
kutoka kwa wananchi na sekta binafsi
1.1 Mgawanyiko wa Jimbo
katika kata
Jimbo
la Vwawa ni moja ya majimbo mawili yaliyopo katika wilaya ya Mbozi. Jimbo lina
jumla ya kata 18 ambazo
zimegawanyika katika Tarafa za Igamba
(kata 2 ), Iyula (kata 5) na Vwawa ( kata 11). Aida kichama Jimbo lina matawi
95 na mashina.....
1.2 Majukumu ya Mbunge
Kwa
mjibu wa katiba na majukumu makuu ya mbunge, Kazi kubwa ya Mbunge yeyote ni
kuwawakilisha wananchi katika kutunga sheria mbalimbali, kupitisha bajeti ya serikali
na Taasisi mbalimbali, kuisimamia na kuishauri serikali, na kuwasemea wananchi
waliomchagua katika vyombo mbalimbali vya utekelezaji na kusimamia majumuku
makuu ya serikali. Aidha kushiriki katika vikao vya madiwani na halmashauri kwa
kadili inavyowezekana. Pia mbunge anashirikiana na wananchi wake katika kuibua
miradi mbalimbali na kusaidiana na wananchi katika kuitekeleza.
Katika
kipindi cha miaka minne Mbunge wa Vwawa ametekeleza majukumu yafuatayo:-
I.
Kuisimamia na kuishauri
Serikali katika kutekeleza majukumu yake ya kikatiba kwa kushiriki katika
majukumu ya kupitisha sheria, kupitisha bajeti, kupitia taarifa ya serikali za
utekelezaji, n.k ;
II.
Kuhudhuria na kushiriki
katika vikao vyote vya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania;
III.
Kuwawakilisha wananchi
katika shughuri za bunge kwa kufuatilia utekelezaji wake,
IV.
Kupokea, kujadili na
kuwawakilisha wananchi katika kupitisha mipango, bajeti na taarifa za utendaji
za serikali;
V.
Kuwatetea wananchi,
kuwasikiliza na kuwasemea katika maeneo
mbalimbali;
VI.
Kusimamia utekelezaji
wa miradi mbalimbali ikiwa ni pamoja na miradi inayofadhiliwa na mfuko wa
jimbo;
VII.
Kuunga mkono jitihada
za wananchi kwa hali na mali katika kutafuta raslimali na vitendea kazi vya
kutekeleza miradi mbalimbali.
1.3 Kushiriki katika miradi ya maendeleo
Katika
kipindi hiki mbunge wa Vwawa alichangia miradi mbalimbali katika vijiji na
kata. Miradi mingi ilikuwa inatekelezwa kwa ushirikiano kati ya serikali na nguvu za
wananchi. Hivyo, mbunge alitoa michango kuunga
mkono juhudi za wananchi katika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo. Maeneo
makubwa yaliyonufaika na michango ya Mbunge wa Vwawa ni kama ifuatavyo: -
Shule za Msingi,
|
Vikundi mbalimbali
|
Shule za
Sekondali
|
Madhehebu ya
dini,
|
Barabara
|
Kuchangia
Klabu ya waandishi wa habari,
|
Zahanati
|
Chama cha
Mapinduzi, kata, wilaya na mkoa pamoja na jumuiya zake na
|
Polisi
|
Katika sekta
ya maji.
|
Magereza
|
1.4
Yaliyojitokeza Katika ziara mbalimbali
za wananchi ;
Kero mbalimbali ziliwasilishwa na wananchi
ambazo zimegawanyika kama ifuatavyo:-
(i) Pembejeo
kuchelewa na hata zilipofika zilikuwa zinauzwa kwa bei kubwa tofauti na
maelekezo ya serikali,
(ii) Ubovu
wa miundombinu ya barabara nyingi kutopitika hasa masika,
(iii)Umeme
wa REA kutowafikia baadhi ya wananchi,
(iv) TASAF
– kulalamikiwa kuwa walengwa hawanufaikii badala yake wanapewa wenye uwezo,
(v) MAJI
-Ukosefu wa maji safi na salama,
(vi) Mabadiliko
ya mfumo wa uuzaji kahawa kutoka vikundi na kuuzwa kupitia Ushirika,
(vii) Kamatakamata
ya mkaa,
(viii) Kuzagaa
kwa taka hasa maeneo ya mjini,
(ix) Upungufu
vyumba vya madarasa na vyoo katika shule
za msingi na sekondari
(x) Baadhi
ya watendaji kutosoma taarifa ya mapato na matumizi na kula fedha za michango
ya wananchi ikiwemo chakula cha wanafunzi;
(xi) Watendaji
kutoza ushuru kwa wafanyabiashara ndogo ndogo kama wauza mboga,
(xii) Upungufu
wa nyumba za watumishi hasa Waganga na walimu vijijini
(xiii) Kero
ya upatikanaji wa mikopo ya vijana, wanawake na walemavu,
(xiv) Malipo
ya Pensheni kwa Wazee,
(xv) Kukumbushia
ahadi ya Sh.50milioni kwa kila kijiji
(xvi) Ahadi
ya Rais ya kilometa 10 ya barabara ya lami Vwawa - Hasamba.
1.5 Shukrani,
Ninapenda kutumia fursa
hii kumshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli kwa kuniamini na
kuniteua kuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Octoba 7, 2018. Baada ya
mwaka mmoja mh. Mhe. Rais Dkt. John
Pombe Joseph Magufuli alinipandisha na kuniteua kuwa waziri wa
kilimo katika hitoria ya mbozi. Aidha shukrani za dhati ziwaendee wananchi wa
Jimbo la Vwawa kwa kunichagua kuwa Mbunge wao na kuniombea hadi Mhe. Rais
akaniona na kunipa majukumu haya mazito ya Kitaifa. Pia napenda kuwashukuru
viongozi wa chama wote, viongozi wa serikali, wanachama, watendaji wote, kwa
ushirikiano wanaendelea kunipa na kutekeleza majukumu ya chama chetu katika
ngazi mbalimbali. Mungu awabariki wote.
Katika kipindi hicho mbunge amechangia katika
shughuri mbalimbali kwa mhutasari kama ifuatavyo:-
(1)
Kuchangia
shughuri za maendeleo katika kata shs. 87,347,100.00
(2)
Kuimarisha
chama katika maeneo mbalimbali shs 39,969,000.00
(3)
Kuhudumia
na kuchangia jamii mbalimbali shs 11,201,000.00
(4)
Gharama
za kesi ya uchaguzi shs
30,000,000.00
(5)
Kuwakaribisha
wananchi Bungeni shs
46,692,000.00
(6)
Kuimarisha
michezo shs
21,280,000.00
Jumla
ndogo shs
236,489,100.00
(7)
Mfuko wa
Jimbo
shs 166,194,408.80
Jumla Kuu
shs 402,683,508.89
|
|
MIRADI YA MFUKO WA JIMBO
JIMBO LA VWAWA
1. KATA YA VWAWA
-
Hospital Vwawa bati 10 = 10 @
25000 = Tsh 250,000.000
-
Saruji mifuko 10 = 10 @ 15000 = Tsh
150,000.00
-
Mbao 5 = 5 @ 3000 = Tsh 15,000.00
-
Shule ya msingi Mtumbo fedha
tasilimu Tsh
583,500.00
-
Mbao 2 x 6 = 52 @ 8000 = Tsh
416,000.00
-
Mbao 2x3 = 118 @ 8000 = Tsh 944,000.00
-
Mbao 2x4 = 80 @8000 = Tsh 640,000.00
-
Misumari kilo 50 @ 3000 = Tsh 150,000.00
-
Misumari ya bati kilo 25 @ 3000
= Tsh 75,000.00
-
Shule ya msingi Namlea saruji
mifuko 100 @13,050 = Tsh
1,305,000.00
-
Fedha tasilimu = Tsh 1,310,000.00
Jumla Tshs 5,838,000.00
MICHANGO BINAFSI KATA YA VWAWA
-
Vwawa Saccos fedha tasilimu Tsh 2,000,000.00
-
Azimio Saccos fedha tasilimu Tsh 300,000.00
-
Police ujenzi wa ofisi saruji
20 @ 15000 = Tsh
300,000.00
-
Police fedha tasilimu Tsh
100,000.00 Tsh. 100,000.00
-
Magereza Tv kwa wafungwa wa
kike Tsh 400,000.00
-
Magereza ujenzi wa banda la
mapumziko Tsh 400,000.00
-
Hospital ya Vwawa Tsh 100,000.00
-
Ofisi ya DC mchango wa mwenge Tsh 300,000.00
-
Ilembo Pentecost church Tsh 200,000.00
-
Ilembo Lust church Mtambwe Tsh
200,000.00
-
Vwawa Moravian fedha tasilimu Tsh 300,000.00
-
Mantengu shule ya msingi saruji
20 @ 15000= Tsh 300,000.00
-
Namlea shule ya msingi saruji
20 @ 15000 = Tsh 300,000.00
-
Mkutano wa hadhara Tsh 640,000.00
-
Old Vwawa ofisi ya kijiji
saruji 20 @ 15000 Tsh 300,000.00
-
Halmashauri kuu ya kata
vwawa Tsh 200,000 .00
-
Mchango wa mwenge DC Tshs 100,0000.00
·
Kuimarisha chama Tshs 300,000.00
·
Kikundi cha Madereva
Malori Tshs.400,000.00
·
Mantengu A
wananchi Tshs.120,000.00
·
Mantengu B Saruji
mifuko 10 Tshs. 150,000.00
·
Maji wananchi Tshs. 50,000.00
·
Maji wananchi Old Vwawa
Tshs.100,000.00
·
Viongozi CCM kata Vwawa
Tsh. 50,000.00
Jumla ndogo Tsh 7,610,000.00
2. KATA YA IYULA
MFUKO WA JIMBO KATA YA IYULA
-
Vyumba vya maabara Nzovu mifuko
ya saruji 35 @ 15000 = Tsh 525,000.00
-
Fedha taslimu maabara ya
Nzovu Tsh
975,000.00
-
Iyula ujenzi wa chumba cha
upasuaji fedha tasilimu = Tsh
1,310,000.00
-
Kituo cha afya Iyula saruji 30
@ 1500 = Tsh 450,000.00
-
Nondo rola 45 @ 20,000 = Tsh 900,000.00
-
Mbao 1x8 = 30@8000 = Tsh 240,000.00
-
Misumari kilo 10 @3000 = Tsh 30,000.00
-
Shule mpya ya Igale saruji 130
@13050 = Tsh 1,696,500.00
-
Shule mpya ya Igale fedha taslimu
Tsh. 1,747,500.00
Ujenzi
wa vyumba 3 vya madarasa shule ya sekondari Simbega
·
Bati futi 10 vipande
108 @ Tshs. 2,916,000.00
·
Saruji mifuko 50 @ 13500
= Tshs 675,000.00
Jumla
ndogo Tshs.11,463,000.00
MICHANGO BINAFSI KATA YA IYULA
-
Shule ya msingi Maendeleo bati
30 @16 = Tsh 480,000.00
-
Shule ya msingi Maendeleo
saruji 20 @15000 = Tsh 300,000.00
-
Shule ya msingi Maendeleo
vitabu 50 @ 9000 = Tsh 450,000.00
-
Kituo cha afya Iyula saruji 20
@15000 = Tsh 300,000.00
-
Kituo cha afya Iyula fedha
taslimu Tsh 2,000,000.00
-
Ujenzi wa ofisi ya Weo kata
Iyula Tsh 500,000.00
-
Uwanja wa mpira Iyula Tsh
500,000.00
-
Shule ya msingi Ipyana saruji 30 @16000 Tsh
480,000.00
-
Shule ya msingi Unyenyembe
saruji 20 @ 16000 = Tsh 320,000.00
-
Shule ya msingi Iyula photocopy
mashine Tsh,
3,000,000.00
-
Ununuzi wa mbegu za samaki Tsh,1,000,000.00
-
Saruji vijiji 4 vya kata ya Iyula
=20 @14500 x 4 = Tsh 1,160,000.00
-
CCM kata (wajumbe) =
Tsh 300,000.00
·
Wajumbe wa H/Kuu
kata Tsh. 300,000.00
·
Wanafunzi na walimu S/M
Iyula Tsh. 80,000.00
·
Hatete Shule ya Msingi
saruji 20 Tsh. 340,000.00
Jumla
ndogo Tsh 11,510,000.00
3. KATA YA IDIWILI
MFUKO WA JIMBO
-
Shule ya msingi Ilindi misumari
kilo 100 @ 3000 = Tsh 300,000.00
-
Shule ya msingi Mafumbo fedha
taslimu Tsh 67,500.00
-
Shule ya msingi Mafumbo saruji
80 @ 15000 = Tsh 1,200,000.00
-
Shule ya msingi Mafumbo chokaa
20 @ 8000 = Tsh 160,000.00
-
Shule ya msingi ilindi mifuko
100@15000 Tshs 1,500,000.00
-
Ukarabati wa vyumba viwili S/m
Ilulu saruji 160 @ 13050 = Tsh 2,088,000.00
-
Fedha taslimu shule ya msingi
Ilulu Tsh 2,088,000.00
-
Ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa
Msanki Tsh 3,591,000.00
Jumla TShs. 10994,500.00
MICHANGO BINAFSI KATA YA IDIWILI
-
Kikundi cha Wajane Idiwili
fedha taslimu Tsh 300,000.00
-
Shule ya msingi Igwila saruji
25 @ 15000 = Tsh 375,000.00
-
Ilomba zahanati bati 30 @16000
= Tsh 480,000.00
-
Ilomba zahanati mbao 30 @ 6000
= Tsh 180,000.00
-
Sekondari ya Idiwili fedha
taslimu Tsh 200,000.00
-
Shule ya msingi Ilindi harambee
Tsh 300,
000.00
-
Idiwili vijiji 4 saruji 20
@14500 = Tsh
1,160,000.00
-
CCM kata (wajumbe) fedha
taslimu Tsh 200,000.00
-
Ununuzi wa jengo la
CCM Tsh.700,000.00
Jumla ndogo TShs. 3,895,000.00
4. KATA YA RUANDA
MFUKO WA JIMBO
-
Nyumba ya mganga Welu 11 saruji
18 @15000 = Tsh 270,000.00
-
Nyumba ya mganga chokaa 10 @
8000 = Tsh 80,000.00
-
Fedha taslimu Tsh
1,074,000.00
-
Nondo 6 @20 = Tsh 120,000.00
-
Shule ya msingi Idibila bati
futi 122 @ 25000 = Tsh 3,050,000.00
-
Shule ya msingi Idibila mbao 2x3
= 60@ 8000 = Tsh 480,000.00
-
Shule ya msingi Idibila mbao
2x4 = 70 @ 8000 = Tsh 560,000.00
-
Misumari kilo 40 @3000 = Tsh 120,000.00
-
Fedha taslimu = Tsh 500,000.00
-
Ihowa zahanati fedha taslimu = Tsh 2,827,000.00
·
ukarabati wa vyumba 4
vya madarasa lumbila sekondari
·
Saruji mifuko 30 @ 13500= Tsh. 405,000.00
·
saruji 30 fedha taslimu
Tsh Tsh.1,337,605.70
Jumla ndogo Tsh. 7,996,605.70
MICHANGO BINAFSI – KATA YA RUANDA
-
Fedha taslimu ( shule ya
Idibila)
Ths. 1,000,000.00
-
Maafa ya mvua shule ya msingi
Lumbila fedha taslimu Tsh 500,000.00
-
Shule ya msingi Ruwemba saruji 20
@ 15000 = Tsh 300,000.00
-
Kikundi cha wazee fedha taslimu
Tsh
50,000.00
-
Halmashauri kuu ya kata fedha
taslimu Tsh 200,000.00
-
Mkutano wa hadhara Ihowa fedha
taslimu Tsh
200,000.00
-
Ihowa mchango kwa wazee Tsh 150,000.00
-
Ujenzi wa kivuko njia ya Reli
Idibila Tsh 2,098,100.00
-
Kuimarisha Chama Tsh. 300,000.00
Jumla ndogo TShs.
2,700,000.00
5. KATA YA ISANDULA
MFUKO WA JIMBO
-
Shule ya sekondari Isandula
saruji 20 @ 15000 = Tsh
300,000.00
-
Shule ya sekondari Isandula
mbao 15 @8000 = Tsh
120,000.00
-
Shule ya sekondari Isandula
misumali kilo 9 @ 3000 = Tsh 27,000.00
-
Shule ya sekondari Isandula
singboard 66@15000 = Tsh
990,000.00
-
Ujenzi wa madarasa S/m Isandula saruji 20 @ 15000 = Tsh
300,000.00
-
Mbao shule ya msingi Isandula
2x6 = 36 @8000 = Tsh 288,000.00
-
Shule ya msingi Isandula
Misumari kilo 5 @ 3000 = Tsh
15,000.00
-
SHULE YA msingi Isandula Tsh
1,379,000.00
-
Zahanati Mponela fedha taslimu Tsh 2,514, 000.00
-
Matundu 16 ya vyoo shule ya
msingi Chizumbi Tsh. 1,772.605.70
Jumla
ndogo TSh.
7,705,605.70
Shule ya msingi Chizumbi
MICHANGO BINAFSI KATA YA
ISANDULA
-
Shule ya msingi Mwembe fedha
taslimu Tsh 2,000,000.00
-
Chimbuya zahanati saruji 30 @
15000 = Tsh 450,000.00
-
Chizumbi zahanati saruji 30 @
15000 = Tsh
450,000.00
-
Mponela zahanati saruji 30 @
15000 = Tsh
450,000.00
-
Harambee zahanati ya Mponela
fedha taslimu Tsh
200,000.00
-
Ofisi ya kata Isandula saruji 5 @ 15000= Tsh 75,000.00
-
Mponela zahanati silling board
6 @ 15000 = Tsh 90,000.00
-
Rudewa shule ya msingi saruji
30 @ 15000 = Tsh
450,000.00
Solar S/M Chizumbi Tsh.
780,000.00
Kuchangia S/M Mwembe Tsh.Tsh 800,000.00
Posho ya wazee Tsh. 180,000.00
Jumla ndogo Tsh
5,925,000.00
6. KATA YA IHANDA
MFUKO WA JIMBO
-
Ihanda sekondari bati 12 @25000
= Tsh 300,000.00
-
Ihanda saruji 20 @ 15000 = Tsh 300,000.00
-
Ihanda nondo 18 @ 20000 = Tsh
320,000.00
-
Ihanda mbao 25 @8000 = Tsh
200,000.00
-
Ihanda misumari ya kawaida kilo
7 @ 3000 = Tsh
21,000.00
-
Ihanda misumari ya bati kilo 3
@ 4000 =
Tsh 12,000.00
-
Fedha taslimu Tsh
637,500.00
-
Shule ya msingi Majengo fedha
taslimu Tsh
200,000.00
-
Shule ya msingi Majengo bati
futi 10 =48 @ 25000 = Tsh 1,200,000.00
-
Shule ya msingi Majengo bati
futi 8 = 48 @ 23000 = Tsh 1,104,000.00
-
Shule ya msingi Majengo
misumari kilo 25 @ 3000 = Tsh 75,000.00
-
Shule ya msingi Majengo
misumari ya bati kilo 7 @ 4500 = Tsh
31,500.00
-
Zahanati ya Malonji fedha
taslimu Tsh 1,280,000.00
-
Zahanati ya Malonji saruji 85 @
13050 = Tsh 1,109,250.00
-
Bati 10 futi 8 @ 15,000 = Tshs150,000.00
-
Saruji mifuko 5 @ 15000
= Tsh. 75,000.00
-
Bati futi 10 vipande
108 @ 27000= Tsh.2,916,000.00
-
Saruji mifuko 50 @
13500 = Tsh. 675,000.00
Jumla
Tshs
10,606,000.00
MICHANGO BINAFSI KATA YA IHANDA
-
Shilanga maafa ya mvua fedha taslimu
Tsh 1,000,000.00
-
S/m Majengo saruji 15 @ 15000 =
Tsh
225,000.00
-
Ofisi ya kata Ihanda saruji 15
@ 15000 = Tsh
225,000.00
-
Zahanati ya Sumbaluwela saruji
15 @ 15000 = Tsh 225,000.00
-
Shule ya msingi Saweya bati 50
@ 16000 = Tsh 800,000.00
-
Shule ya msingi Saweya saruji
30 @ 15000 = Tsh 450,000.00
-
CCM kata ( wajumbe) fedha
taslimu Tsh
200,000.00
-
Sumbaluwela mchango kwa wazee
fedha taslimu Tsh.30,000.00
-
Malonji mchango kwa wazee fedha
taslimu Tsh 50,000.00
-
Majengo mchango kwa wazee fedha
taslimu , Tsh 50,000.00
-
Vikundi vya Wazee Tsh
160,000.00
-
Uimarishaji wa
chama Tsh. 300,000.00
Jumla ndogo
TShs. 3,715,000.00
7. KATA YA IPUNGA: MFUKO WA
JIMBO
-
Ipunga Tsh
1,500,000.00
-
Nyumba ya mganga Ipanzya bati
futi 10 = 12 @25000 = Tsh
240,000.00
-
Nyumba ya mganga Ipanzya bati
futi 6 = 26 @ 20,000 = Tsh 520,000.00
-
Nyumba ya mganga Ipanzya saruji
47 @ 14500 = Tsh 681,500.00
-
Nyumba ya mganga Ipanzya nondo
6 @ 32000 = Tsh
192,000.00
-
Misumari kilo 16@3000= Tsh,
48,000.00
-
Fedha taslimu Tsh,2,220,000.00
-
Shule ya sekondari Ipunga
saruji @13050 = Tsh, 783,000.00
-
Pesa taslimu Tsh,1,660,000,00
Ukarabati wa vyumba 6
vya madarasa shule ya sekondari Ipunga
·
Saruji mifuko 150 @ Sh.
13500 =
2,025,000.00
·
Fedha tasilimu Sh. 1,308,000.00
Jumla ndogo
11,177,000.00
MICHANGO BINAFSI KATA YA IPUNGA
-
Shule ya msingi Sai saruji
30@15000= Tsh. 450,000.00
-
Shule ya msingi Sai bati
=40@160000= Tsh. 640,000.00
-
Zahanati ya Ipapa saruji 10@16,000= Tsh.160,000.00
-
Bati 12@16000 = Tsh.
192,000.00
-
Kijiji cha ipazya bati
40@16000= Tsh. 640,000.00
-
Mpela zahanati solar moja = Tsh,850,000.00
-
Kanisa la morivian Ipapa Tsh,300,000.00
-
Kanisa la EAGT Ipapa Tsh,300,000.00
-
Kanisa la Moravian Tsh,300,000.00
-
CCM kata [wajumbe] Tsh,250,000.00
-
Mchango kwa wazee Ipapa Tsh. 50,000.00
-
Mchango kwa wazee Tsh.
60,000.00
-
Posho wajumbe H/kuu Tsh. 200,000.00
-
Maji wananchi Tsh. 60,000.00
-
Vikundi vya wazee
150,000.00
Jumla ndogo Tshs 4,552,000,00
8. KATA YA KILIMAMPIMBI : MFUKO
WA JIMBO
-
Msamba zahanati 1 solar 1 na
betri Tsh 1,000,000.00
-
Fedha taslimu Tsh 200,000.00
-
Isandula zahanati solar 1 na
betri Tsh 1,000,000.00
-
Ikomela shule ya msingi fedha
taslimu Tsh 255,000.00
-
Ikomela shule ya msingi saruji
50 @ 15000 Tsh 750,000.00
-
Zahanati ya Kilimampimbi fedha
taslimu Tsh 360,000.00
-
Zahanati ya bati futi 10 = 44 @
22,930,79 Tsh
1,008,954.76
-
Zahanati bati futi 8 = 42 @
19,654,96 = Tsh 825,508.32
-
Zahanati ya kilimampimbi saruji
54 @ 13050 Tsh 704,700.00
Ukamilishaji wa vyumba
2 vya madarasa na ofisi 1 S/M Isandula
·
Bati futi 10 vipande 71
@ Tsh 1,917,000.00
·
Jumla ndogo 8,021,671.40
MICHANGO BINAFSI KATA YA KILIMAMPIMBI
-
Zahanati ya Ikomela bati 20 @
16000 = Tsh 320,000.00
-
Zahanati ya Ikomela saruji 30 @
15000 = Tsh 450,000.00
-
Sekondari ya kilimampimbi
saruji 60 @ 15000 = Tsh 1,350,000.00
-
Sekondari ya Kilimampimbi fedha
taslimu = Tsh 950,000.00
-
S/M Isandula ukarabati wa
madarasa saruji @ 14500 Tsh
290,000.00
-
Mkutano wa hadhara Isandula Tsh 50,000.00
·
Kununua Solar S/
Sekondari 780,000.00
·
Posho ya Wazee 250,000.00
Jumla
ndogo Tsh 4,440,000.00
9. KATA YA HASANGA : MFUKO WA
JIMBO
-
S/m Londoni na shule S/m Nsala
bati 72 @ 25000 = Tsh
1,800,000.00
-
S/m Londoni na S/m Nsala misumari kilo 16 ½ @
3000 Tsh 49,500.00
-
S/m Londoni na S/m Nsala
misumari bati kilo 10 @ 3000 = Tsh
300,000.00
-
Fedha taslimu Tsh 525,096.00
-
Shule ya msingi Isangu saruji
10 @ 15000 = Tsh 150,000.00
-
S/m Londoni na shule S/m Nsala
chokaa 10 @ 8000 = Tsh 80,000.00
-
S/m Londoni na shule S/m Nsala
mbao 2x6 = 2 @ 8000 = Tsh 16,000.00
-
S/m Londoni na shule S/m Nsala
mbao 2x3 = 32 @ 4000 = Tsh 136,000.00
-
S/m Londoni na shule S/m Nsala
mbao 1x8 = 1 @ 8000 = Tsh 8,000.00
-
S/m Londoni na shule S/m Nsala
misumali kilo 18 @ 3000 = Tsh 54,000.00
-
Shule ya msingi Nsala bati futi
10 = 1010 @ 25000 = Tsh
2,750,000.00
Ujenzi wa vyumba 4 vya
madarasa Isangu Sekondari
·
Bati futi 10 vipande
108 @ 27000 = 2,916,000.00
·
Saruji mifuko 50 @
13500 = 675,000.00
Jumla
ndogo Tsh 9,159,596.00
MICHANGO BINAFSI KATA YA HASANGA
-
Shule ya sekondari Isangu bati
40 @ 16000 = Tsh 640,000.00
-
Shule ya sekondari Isangu
saruji 20 @15000 = Tsh
300,000.00
-
Shule ya msingi Londoni bati 40
@ 16000 = Tsh
640,000.00
-
Shule ya msingi Londoni saruji
20 @ 15000 = Tsh
300,000.00
-
Shule ya msingi Nsala bati 12 @
16000 = Tsh
192,000.00
-
Shule ya msingi Nsala saruji 20
@ 16000 = Tsh
320,000.00
-
Shule ya msingi Nsala mchanga
lori 2 = 90,000 x 2 = Tsh
180,000.00
-
Shule ya msingi Nsala tofari
6000 = Tsh
600,000.00
-
Moravian Nsala Tsh
500,000.00
-
Ruthelani Isangu Tsh
300,000.00
-
Babtist Ichenjezya Tsh
300,000.00
-
Michango ya kijamii fedha
taslimu Tsh
50,000.00
-
Uinjilist Moravian Nsala Tsh
300,000.00
-
Kwaya ya vijana A Nsala Tsh
300,000.00
-
Isangu uinjilist kwaya Moravian
Tsh
200,000.00
-
S/S Isangu saruji 30 @ 14500 = Tsh
435,000.00
-
Mchango kwa wazee Londoni Tsh
100,000.00
-
CCM kata ( wajumbe ) fedha
taslimu Tsh.200,000.00
-
Kikundi cha ngoma na wazee Tsh
50,000.00
-
Kikundi cha boda boda kwa
Batoni Tsh 100,000.00
Posho
Wajumbe H/Kuu 200,000.00
·
Maji Wananchi M/hadhara
150,000.00
Jumla ndogo Tsh 6,357,000.00
10. KATA YA HASAMBA: MFUKO WA
JIMBO
-
Zahanati ya Muungano bati 65 @
25000 = Tsh
1,625,000.00
-
Zahanati ya muungano saruji 12
@ 15000 = Tsh 180,000.00
-
Zahanati ya Muungano misumariya
kawaida kilo 60 @ 3000 Tsh
180,000.00
-
Zahanati ya Muungano misumari
ya bati kilo 20 @ 3000 = Tsh 60,000.00
-
Zahanati ya Muungano Kiasi cha
fedha Tsh 20,000.00
-
Shule ya msingi Ilyika fedha
taslimu Tsh 800,000.00
-
Shule ya msingi Ilyika saruji
80 @ 15000 = Tsh 1,200,000.00
-
Zahanati ya Muungano fedha
taslimu Tsh 2,777,000.00
-
Zahanati ya Muungano saruji 15
@ 13050 = Tsh 195,750.00
Ujenzi wa vyumba 2 vya
madarasa shule ya sekondari Ndugu
·
Bati futi 10 vipande
108 @27000= 2,916,000.00
·
Saruji mifuko 50 @
13500 = 675,000.00
Jumla ndogo Tsh 10,628,750.00
MICHANGO BINAFSI KATA YA
HASAMBA
-
Shule ya msingi Namile saruji
50 @ 16000 = Tsh
800,000.00
-
Shule ya sekondari Ndugu saruji
40 @ 15000 = Tsh
600,000.00
-
Shule ya sekondari Ndugu vitabu
50 @ 900 = Tsh
450,000.00
-
Last church Ilyika fedha
taslimu Tsh
200,000.00
-
Zahati ya muungano Bati 30 @
16,000 Tshs 480,000.00
·
Posho wajumbe wa H/Kuu 200,000.00
·
Maji wananchi
M/hadhara 60,000.00
Jumla ndogo Tsh 2,990,000.00
11. KATA YA MSIA: MFUKO WA
JIMBO
-
Nyumba ya Mganga Weli 1 bati 12
@ 25000 = Tsh
300,000.00
-
Saruji mifuko 30 @16000 = Tsh
480,000.00
-
Mbao 2x6 = 10 @ 8000 = Tsh
80,000.00
-
Mbao 2x3 = 30 @ 8000 = Tsh
240,000.00
-
Mbao 1x8 = 6 @ 8000 = Tsh
48,000.00
-
Mbao 2x4 = 20 @ 8000 = Tsh
160,000.00
-
Misumari ya kawaida kilo 10 @
3000 = Tsh
30,000.00
-
Misumari ya bati kilo 8 @ 4000
= Tsh
32,000.00
-
Fedha taslimu Tsh.975,000.00
-
Shule ya msingi Hankalagwa bati
futi 10 = 53 @ 25000 = Tsh
1,325,000.00
-
Mbao 2x6 = 20 @ 8000 = Tsh
160,000.00
-
Mbao 2x3 = 64 @ 8000 = Tsh
512,000.00
-
Mbao 2x4 = 24 @ 8000 = Tsh
192,000.00
-
Mbao 2x8 = 11 @ 8000 = Tsh 88,000.00
-
Misumari ya bati kilo 16 @ 3000
= Tsh
48,000.00
-
Fedha taslimu Tsh 7,500.00
-
S/s Iganduka fedha taslimu Tsh 2,513,500.00
Ukamilishaji wa nyumba
ya Mganga kijiji cha Iganduka
·
Fedha tasilimu Sh. 1,787,605.70
Jumla ndogo 8,974,605.70
MICHANGO BINAFSI KATA YA MSIA
-
Shule ya msingi Hankalagwa
saruji 40 @ 15000 = Tsh
600,000.00
-
Shule ya msingi Welu 1 saruji
55 @ 15000 = Tsh 825,000.00
-
Shule ya msingi Welu 1 bati 20
@ 16000 = Tsh
320,000.00
-
Zahanati ya Welu saruji 10 @
15000 = Tsh
150,000.00
-
Zahanati Ibembwa saruji 30 @
15000 = Tsh
450,000.00
-
Zahanati Iganduka saruji 60 @
15000 = Tsh
900,000.00
-
Zahanati ya Iganduka bati 40 @
16000 = Tsh
640,000.00
-
Sekondari ya Iganduka saruji 30
@ 15000 = Tsh
450,000.00
-
CCM kata ( wajumbe ) Tsh
250,000.00
-
Mchango kwa wazee Ibembwa Tsh
100,000.00
·
Posho wajumbe H/kuu 240,000.00
·
Maji wananchi M/hadhara
(2018) Ibembwa
100,000.00
·
Maji wananchi M/hadhara
(2018) Msia
100,000.00
·
Maji wananchi Iganduka 60,000.00
" Welu 1
50,000.00
Jumla ndogo Tsh 5,235,000.00
12. KATA YA WASA: MFUKO WA JIMBO
-
Fedha taslimu Tsh 1,518,000.00
-
Shule ya sekondari Isalalo saruji 30 @ 14500 = Tsh 435,000.00
-
Shule ya sekondari Isalalo chokaa 5 @ 8000 = Tsh 40,000.00
-
Shule ya sekondari Isalalo 2x6 = 8 = 18 @ 8000 = Tsh 144,000.00
-
Shule ya sekondari Isalalo misumari kilo 8 1/2
@ 3000 = Tsh 25,000.00
-
Shule ya sekondari Isalalo silling board 11 @ 15000 = Tsh 165,000.00
-
Fedha taslimu Tsh 1,219,000.00
-
Shule ya msingi Malolo saruji 25 @ 13050 = Tsh 848,250.00
-
Fedha taslimu Tsh 2,057,500.00
Ukamilishaji jengo la
Utawala ofisi ya kata
·
Bati futi 10 vipande 71
@ 27,000 = 1,917,000.00
Jumla ndogo Tsh 8,358,750.00
MICHANGO BINAFSI KATA YA
WASA
-
Sekondari ya Isalalo sariuji 30
@ 15000 Tsh
450,000.00
-
Zahanati ya Isalalo solar 1 Tsh 1,500,000.00
-
Zahanati ya Wasa saruji 30 @ 15000 Tsh 450,000.00
-
Wasa maafa fedha taslimu Tsh
650,000.00
-
Malolo zahanati saruji 30 @
15000 = Tsh
450,000.00
-
Maafa Malolo fedha taslimu Tsh
350,000.00
-
Michango kwa wazee fedha taslimu
Tsh 60,000.00
Jumla ndogo Tshs 3,910,000.00
·
Maji wananchi (2018) 180,000.00
·
Maji wananchi (2019)
160,000.00
Jumla ndogo Tsh 4,250,000.00
13. KATA YA HEZYA : MFUKO WA
JIMBO
-
Shule ya msingi Izumbi bati 58
@ 22000 T Tsh 1,276,000.00
-
Shule ya msingi Izumbi bati
futi 6 = 54 @ 20000 = Tsh 1,080,000.00
-
Shule ya
msingi Izumbi solar power 20
-
Nyumba ya mganga Haraka bati
futi 6 = 80 @ 20000 = Tsh 1,600,000.00
-
Fedha taslimu Tsh
800,000.00
-
S/m Namwangwa bati futi 6 = 66
@ 20000 = Tsh 1,320,000.00
-
Fedha taslimu Tsh 1,314,000.00
Ukamilishaji chumba 1
cha darasa shule ya sekondari Hezya
·
Fedha tasilimu Sh. 1,787,605.70
Jumla ndogo Tsh
9,177,605.70
MICHANGO BINAFSI KATA YA HEZYA
-
Zahanati ya Hezya saruji 30 @
15000 = Sh 450,000.00
-
Shule ya msingi Izumbi saruji
mifuko 30 @ 15,000.00 Sh.
450,000.00
-
Shule ya msingi Izumbi bati 40
@ 16,000.00 Sh.
640,000.00
-
Zahanati ya Namwangwa Saruji mifuko 30 @ 15,000.00 Sh. 450,000.00
-
Zahanati ya Haraka Saruji
mifuko 20 @ 15000.00 Sh.
300,000.00
-
Kimembe S/M saruji mifuko 30 @
15,000.00 Sh.
450,000.00
-
Kimembe S/M bati 40 @ 16,000.00 Sh.
640,000.00
-
Namwangwa Mradi wa maji fedha
tasilimu Sh.
300,000.00
-
CCM kata (Nauli Wajumbe) Sh.
200,000.00
-
Mchango kwa wazee Namwangwa Sh.
100,000.00
-
Mchango wazee Haraka Sh. 60,000.00
-
Wajumbe wa H/kuu 200,000.00
Jumla ndogo Tshs
4,240,000.00
14. KATA YA ICHENJEZYA. MFUKO WA JIMBO
-
Shule ya Msingi Ichenjezya
saruji mifuko 40 @ 15,000.00 Sh. 600,000.00
-
Fedha tasilimu Sh. 900,000.00 Sh. 900,000.00
-
S/M Ichenjezya Saruji 37 @
13,050.00 Sh. 482,850.00
-
S/m fedha taslimu Sh. 2,213,500.00
ukarabati wa vyumba 8
vya madarasa s/m Ichenjezya
·
Bati futi 10 vipande 50
x 27000 = 1,350,000.00
·
Saruji mifuko 20 x
13500 = 270,000.00
·
Fedha tasilimu 247,605.70
Jumla
ndogo Tsh 6,063,955. 70
MICHANGO
BINAFSI KATA YA ICHENJEZYA
·
Kanisa la Baptisti Tsh,300,000.00
·
Shule ya msingi Ichenjezya
saruji 20@14000= TSh. 290,000.00
·
CCM kata [ wajumbe]
Tsh,200,000.00
·
Wajasiliamali standi kuu
Tsh,200,000.00
·
Vijana wa Bodaboda Tshs 100,000.00
·
Posho ya Wajumbe H/kuu 200,000.00
·
Maji wananchi M/hadhara
90,000.00
Jumla ndogo Tsh 1,380,000.00
15. KATA YA NYIMBILI: MFUKO WA
JIMBO
·
Nyumba ya mwalimu sekondari
fedha taslimu Sh. 1,500,000.00
·
Hantesya shule ya msingi fedha
taslimu Sh. 2,199,600.00
·
Saruji 60 @ 13050 @ = Sh. 783,000.00
Ukamilishaji wa vyumba
3 vya madarasa shule ya sekondari Vwawa
·
Saruji mifuko 60 x
13500 = 810,000.00
·
fedha tasilimu Sh 887,605.70
Jumla ndogo Tsh
6,180,205.70
MICHANGO BINAFSI KATA YA NYIMBILI
-
Nyanyi saruji 20 @ 15000 = Sh. 300.000.00
-
Shititi saruji 20 @ 15000
=
Sh. 300,000.00
-
Nzovu saruji 20 @ 15000 = Sh 300.000.00
-
Mpanda saruji 20 @ 15000 = Sh. 300.000.00
-
Isewe saruji 20 @ 15000 =
Sh. 300,000.00
-
CCM kata ( wajumbe )
sh
200,000.00
-
Wazee Nyanyi na Shititi
Sh 150,000.00
-
Hantesya zahanati solar 1
Sh 850,000.00
Jumla
ndogo Tshs
2,700,000.00
Kutengeneza
Barabara Nyanyi 2,000,000.00
Solar
zahanati Hantesya 780,000.00
Kuimarisha
chama 300,000.00
Posho
Wajumbe H/Kuu 200,000.00
Maji
wananchi M/hadhara 200,000.00
Maji
wananchi Shimlo 100,000.00
Jumla ndogo
6,280,000.00
16. KATA YA ILOLO: MFUKO WA
JIMBO
-
Shule ya msingi Ilolo bati 12 @
25000 Sh. 300,000.00
-
Fedha taslimu Shs 1,000,000.00
-
Shule ya sekondari Ilolo bati
futi 10 = 147 @ 22,930.79 shs 3,370,826.13
Ujenzi wa vyumba 4 vya
madarasa shule ya sekondari Ilolo
·
Bati futi 10 vipande
108 @27000= 2,916,000.00
·
Saruji mifuko 50 @13500 675,000.00
Jumla ndogo Tsh 8,261,826.13
MICHANGO BINAFSI KATA YA ILOLO
-
Shule ya msingi Ilolo Saruji 40
@ 15000 = Sh. 600,000.00
-
CCM kata ( wajumbe )
Sh.
250,000.00
-
Mwalimu wa physics shs 120,000.00
·
Wajumbe H/Kuu kata 250,000.00
·
Saruji 20 S.Ilolo 300,000.00
·
Maji Wananchi M/hadhara
100,000.00
·
Viongozi wa
chama/rambirambi 60,000.00
Jumla ndogo Tsh 1,680,000.00
17. KATA YA MLANGALI: MFUKO WA JIMBO
-
Shaji sekondari bati 16 @ 25000
= Sh. 400,000.00
-
Fedha taslimu
Sh
1,252,000.00
-
Sekondari ya Mlangali fedha
taslimu Sh 10,000,000.00
Jumla ndogo Tshs 11, 652,000.00
MICHANGO BINAFSI KATA YA MLANGALI
-
Saruji 20 vijiji @15000 =
Lukululu Sh 300,000.00
-
Saruji 20 @ 15000 shaji shs
300,000.00
-
20 @ 15000 shomola shs
300,000.00
-
20 @ 15000 Ndolezi shs
300,000.00
-
20 @ 15000 Mbewe shs
300,000.00
-
Halmashauri kuu CCM kata
Sh 200,000.00
·
Kuimarisha chama 300,000.00
·
Posho wajumbe H/kuu 200,000.00
·
Saruji mifuko 100 s/m
Kimondo 1,500,000.00
·
Maji wananchi Ndolezi
M/hadhara 120,000.00
·
Maji wananchi Mlangali 120,000.00
Jumla ndogo Tsh 3,940,000.00
18. KATA YA NANYALA: MFUKO WA
JIMBO
-
Zahanati kijiji cha Namlonga
saruji 42 @15000 =
Sh. 630,000.00
-
Zahanati kijiji cha Namlonga
mbao 2x3 = 85 @ 8000 = Sh. 680,000.00
-
Zahanati kijiji cha Namlonga
mbao 2x4 = 30 @ 8000 = Sh.
240,000.00
-
Zahanati kijiji cha Namlonga
misumari ya kawaid kilo 29 @ 3000 = Sh. 87,000.00
-
Zahanati kijiji cha Namlonga
misumari ya bati kilo 6 @ 3000 = Sh. 18,000.00
-
Zahanati kijiji cha Namlonga
silling board 20 @ 15000 = Sh.
300,000.00
-
Nyumba ya mganga Senjele fedha
taslimu Sh.
790,000.00
-
Nyumba ya mganga bati futi 10 =
46 @ 25000 Sh. 1,150,000.00
-
Nyumba ya mganga nondo lola 4 @
20000 =
Sh
80,000.00
-
Nyumba ya mganga mbao 2x3 = 32
@ 8000 =
Sh 256,000.00
-
Nyumba ya mganga mbao 2x4 = 52
@ 8000 = Sh 416,000.00
-
Nyumba ya mganga misumari kilo
14 @ 3000 = Sh 42,000.00
-
Misumari kilo 13 @ 3000 =
Sh 39,000.00
-
Nanyala nyumba ya mwalimu fedha
taslimu Sh. 699,000.00
-
Bati futi 8 = 56 @19,654.99 = Sh 1,100,677.76
-
Bati futi 6 = 40 @ 15,287.19
=
Sh 611,447.60
-
Saruji 45 @ 13050 =
Sh 587,250.00
Ukamilishaji wa chumba
1 cha Darasa shule ya sekondari Shikula
·
Bati futi 10 vipande 54
@ 27000= 1,458,000.00
·
Saruji mifuko 25 @
13500 = 337,500.00
Jumla ndogo Tsh
9,521,875.36
MICHANGO BINAFSI KATA YA NANYALA
-
Senjele uchimbaji wa bwawa Sh 1,000,000.00
-
Shule ya msingi Lusungo fedha
taslimu Sh. 540,000.00
-
CCM kata ( wajumbe ) fedha
taslimu
Sh. 200,000.00
-
Mkutano wa hadhara ujenzi wa
choo vilabuni Sh.
60,000 .00
·
Usafirishaji miti ya
Daraja 400,000.00
·
Posho wajumbe H/kuu 200,000.00
·
Maji wananchi 60,000.00
·
Saruji umaliziaji vyoo
mifuko 6 90,000.00
Jumla ndogo Tsh 2,550,000.00
MICHANGO
YA MBUNGE KATIKA KUIMARISHA CHAMA
·
Matengenezo ya gari la Chama Tshs. 340,000.00
·
Mchango wa
UVCCM – Baraza Tshs.
250,000.00
·
Baraza la
pili UVCCM Tshs
400,000.00
·
Mchango
Wazazi wilaya – Baraza Tshs. 150,000.00
·
Ukarabati wa ofisi ndogo ya CCM
UVCCM Tsh.
2,400,000.00
·
Ununuzi wa kiti Tshs
400,000.00
·
Kupaua jengo la Chama ( W ) Tshs 11,400,000.00
Jumla
ndogo
Shs. 15,340,000.00
GHARAMA ZA UCHAGUZI NGAZI YA WILAYA
-
Jumuiya ya Wazazi (W) Tshs
500,000.00
-
Jumuiya ya UWT (W) Tshs.
500,000.00
-
Uchaguzi wa Chama wilaya Tshs 1,000,000,00
-
Ununuzi wa Printer Ofisi ya Chama (w) Tshs
420,000.00
-
Uchaguzi wa Chama mkoa Tshs 1,000,000.00
-
Uchaguzi wa UVCCM ( W ) Tshs.
700,000.00
-
Kusafirisha wajumbe Mfadhili (mkutano mkuu) Tshs 2,000,000.00
-
Mchango wa Baraza la vijana Tshs 100,000.00
-
Michango mbalimbali ya chama jumla ni Tshs
1,140,000.00
Jumla Shs. 7,260,000.00
MICHANGO BINAFSI OFISI
YA CHAMA 2016/ 2018
-
Matengenezo ya gari Sh
1,000,000.00
-
Sekretarieti nauli Isangu Sh
50,000.00
-
Ziara katibu mkoa katani Sh 200,000.00
-
Secretalieti CCM ( W ) Sh 100,000.00
-
Halmashauri kuu CCM ( w ) Sh.
300,000.00
-
Halmashauri kuu CCM mkoa
Sh.
200,000.00
-
Mchango wa ziara ya Kamati ya Siasa Sh. 100,000.00
-
Mchango wa kuimarisha chama kata Wasa Sh.
100,000.00
-
Mchango wa kuimarisha chama wilaya Sh.
200,000.00
-
Ziara ya kwenda itaka Sh. 100,0000.00
-
Jora moja la Bendera Sh. 54,000.00
-
Mchango wa Ziara ya Naibu Katibu Mkuu (Lubinga) Sh.
100,000.00
Jumla ndogo Tshs 2,504,000.00
MICHANGO BINAFSI OFISI
YA CHAMA 2018/2019
Michango mbalimbali
ndani ya chama (w)
·
Maadhimisho ya CCM (w) 100,000.00
·
Ziara ya Ndugu
Mwakibinga 100,000.00
·
Michango ya CCM (w) 300,000.00
·
Kamati ya Siasa (w) 100,000.00
·
Halmashauri kuu (w) 400,000.00
·
Uhakiki wa mali za
CCM 250,000.00
·
Mapokezi viongozi Taifa 200,000.00
·
Ununuzi matairi ya gari
1,000,000.00
·
Michango CCM (w) 100,000.00
·
Michango UWT (w)Dom 330,000.00
·
Michango UVCCM Dom 330,000.00
·
Mchango Wazazi Dom 330,000.00
·
Maadhimisho kuzaliwa
CCM 100,000.00
·
Mchango wa maafa
Utamba 100,000.00
·
Bima ya Gari 90,000.00
·
Ushuru wa barabarani
(gari) 350,000.00
·
Mafuta ya gari 50,000.00
·
Mapokezi Katibu wa
UVCCM 210,000.00
·
Michango ya chama
wilaya 200,000.00
·
Michango ya Chama 500,000.00
·
Umoja wa Vijana
wilaya 200,000.00
·
Michango ya vijana
Wilaya 500,000.00
·
Michango binafsi Ccm
jimbo 1,000,000.00
·
Ziara ya Katibu Mwenezi
(w) 60,000.00
·
salamu kwa viongozi ngazi ya kata 525,000.00
·
salamu kwa wenyeviti
/makatibu 990,000.00
·
matengenezo ya gari ccm
wilaya 1,000,000,00
·
michango kw makatibu
kat ccm mbozi 200,000.00
·
sekeritarieti Ccm
wilaya 180,000.00
·
uhakiki wa mali za
chama ccm wilaya 150,000.00
·
Halmashauri kuu ya
wilaya CCM 200,000.00
·
kikao viongozi wa
mashina 100,000.00
·
Katibu wa UVccm
wilaya 100,000.00
·
kuimarisha chama shs. 600,000.00
·
Michango ya kutengeneza na kufunga milango 850,000.00
·
Mchango wa Ndarambo
Tshs
500,000.00
Jumla ndog o Tsh 12,255,000.00
MICHANGO CHAMA CHA
MAPINDUZI MKOA
·
Mchango wa baraza UWT
Mkoa 300,000.00
·
Mchango wa baraza
UWT 100,000.00
·
Mchango UWT ziara 150,000.00
·
Jumuiya ya wazazi
Mkoa 250,000.00
·
Baraza UWT Mkoa 100,000.00
·
Baraza la wazazi Mkoa
100,000.00
·
UWT Mkoa sherehe za wanawake 100,000.00
·
Wazazi maazimisho wiki
ya wazazi 350,000.00
·
Sekritarieti mkoa
360,000.00
·
Halmashauri kuu ya mkoa 200,000.00
·
Halimashauri kuu ya mkoa mbeya 400,000.00
·
kamati ya siasa ya
wilaya na mkoa 200,000.00
Jumla
ndogo 2,610,000.00
MICHANGO MINGENE 2016 – 2018
I.
Mchango wa Sherehe za Mei Mosi 2018 Tshs 100,000.00
-
Mchango Sherehe za NMB Tshs
100,000.00
-
Mchango wa siku ya Uhuru wa Vyombo vya habari 2018 Tsh. 100,000.00
-
Mchango wa gharama za kusafirisha vifa vya Jimbo Tshs 2,000,000.00
-
Utengenezaji wa daraja la ukwile (kokote na mpira 2) Tshs 130,000.00
-
Kikundi cha ngoma Ilomba Tshs 500,000.00
Jumla ndogo TSh.
4,680,000.00
1.
MAKARIBISHO
YA WAGENI DODOMA`
·
Safari ya wachungaji
3,642,000.00
·
Safari ya Wenyeviti/k
kata (watu 43) 10,270,000.00
·
Safari ya wenezi (watu
18) 4,340,000.00
·
Safari ya Dodoma -
Marafiki 8 480,000.00
·
Safari ya waalimu 500,000.00
Jumla
ndogo shs 19,232,000.00
2. MICHANGO MINGINE YA
KIJAMII
·
michango mingine
mbalimbali 4,680,000.00
·
mchango wa mwenge 100,000.00
·
mchango wa TUCTA 100,000.00
·
matengenezo ya bendera
za ccm 326,000.00
·
michango ya misiba
mbalimbali 1,230,000.00
·
michango ya watu wenye
mahitaji maalumu 970,000
·
michango ya vijana
walio fanya vizuri sekondari ya Ihanda 515,000.00
·
Kanisa la moriviani
Ruanda 400,000.00
·
Kanisa la FPCT Ilolo 1,000,000.00
·
kanisa la Babtisti
Ilolo 300,000.00
·
michango ya sherehe za
kijamii 1,580,000.00
Jumla ndogo
shs 6,521,000.00
2.7
Kuibua
vipaji vya michezo katika jimbo
Mbunge
alianzisha mashindano ya timu za mpira wa miguu katika ngazi za kata ambapo
timu zipatazo 185 zilisajiliwa kushiriki mashindano hayo. Ligi ilijumuisha
tarafa tatu za kimichezo ambazo ni Vwawa, Iyula na Ihanda. Katika mashindano
hayo ambayo yatakuwa yanafanyika kila baada ya miaka miwili yamegawanyika
katika ngazi tatu yaani kata, Tarafa na Jimbo. Hivyo basi michezo hiyo
imekamilika katika ngazi za kata, Tarafa kwa sasa mashindano hayo yapo katika
ngazi ya Jimbo.
Lengo
la mashindano hayo ni kuibua vipaji vya vijana na kuwaendeleza kimichezo.
Baadaye kutakuwa na mashindano ya timu shirikishi ya kata (combined) ili kujua
ni kata gani bora kuliko zote. Baadaye timu shirikishi za tarafa zitaundwa na
kushiriki katika mashindano mbalimbali ya mkoa wa Songwe.
Jedwali
hapa chini linaonesha jinsi washindi walivyopata zawadi:-
Hasunga Cup ngazi ya
Kata
S /N
|
IDADI YA KATA
|
WASHINDI
|
MIPIRA
|
Bei
@
|
Kiasi
|
JUMLA
LA
|
1.
|
16
|
Washindi
wa kwanza
|
|
|
180,000.00
|
2,880,000.00
|
2.
|
16
|
Washindi
wa pili
|
|
|
100,000.00
|
1,600,000.00
|
3.
|
16
|
Washindi
wa tatu
|
48
|
60,000.00
|
2,880,000.00
|
|
Jumla
ndogo
|
7,600,000.00
|
Gharama
za mashindano ngazi ya Kata – Hasunga
Cup
S
/N
|
KATA
|
IDADI
YA MICHEZO
|
GHARAMA
|
JUMLA LA
|
1.
|
IHANDA
|
12
|
20,000.00
|
240,000.00
|
2.
|
IPUNGA
|
12
|
20,000.00
|
240,000.00
|
3.
|
IYULA
|
14
|
20,000.00
|
280,000.00
|
4.
|
HASANGA
|
12
|
20,000.00
|
240,000.00
|
5.
|
HASAMBA
|
14
|
20,000.00
|
280,000.00
|
6.
|
NYIMBILI
|
14
|
20,000.00
|
280,000.00
|
7.
|
HEZYA
|
16
|
20,000.00
|
320,000.00
|
8.
|
KILIMAMPIMBI
|
13
|
20,000.00
|
260,000.00
|
9.
|
IDIWILI
|
17
|
20,000.00
|
340,000.00
|
10.
|
MLANGALI
|
16
|
20,000.00
|
320,000.00
|
11.
|
RUANDA
|
10
|
20,000.00
|
200,000.00
|
12.
|
WASA
|
12
|
20,000.00
|
240,000.00
|
13.
|
MSIA
|
9
|
20,000.00
|
180,000.00
|
14.
|
NANYALA
|
12
|
20,000.00
|
240,000.00
|
15.
|
ISANDULA
|
10
|
20,000.00
|
200,000.00
|
16.
|
VWAWA
|
15
|
20,000.00
|
300,000.00
|
Jumla
ndogo
|
5,000,000.00
|
Hasunga
Cup ngazi ya Tarafa
S
/N
|
IDADI YA VITUO
|
WASHINDI
|
MIPIRA
|
FEDHA TASILIMU
|
JUMLA LA
|
1.
|
3
|
Mshindi
wa kwanza
|
|
300,000.00
|
900,000.00
|
2.
|
3
|
Mshindi
wa pili
|
|
200,000.00
|
600,000.00
|
3.
|
3
|
Mshindi
wa tatu
|
|
100,000.00
|
300,000.00
|
Jumla ndogo
|
2,940,000.00
|
Gharama
za uendeshaji wa mashindano ngazi ya Tarafa – Hasunga Cup
S
/N
|
TARAFA
|
IDADI
YA MICHEZO
|
GHARAMA
|
JUMLA LA
|
1.
|
VWAWA
|
14
|
30,000.00
|
420,000.00
|
2.
|
IHANDA
|
12
|
30,000.00
|
360,000.00
|
3.
|
IYULA
|
12
|
30,000.00
|
360,000.00
|
Jumla
ndogo
|
1,140,000.00
|
|||
Jumla kuu ya
mashindano ya Hasunga Cup pamoja na Gharama za uendeshaji ni
|
16,680,000.00
|
Gharama
za uendeshaji wa mashindano ngazi ya Jimbo – Hasunga Cup shs 1,700,000.00
Gharama
za uendeshaji wa mashindano kombaini ngazi ya kata Hasunga Cup shs 2,900,000.00
Jumla kuu 21,280,000.00
Aidha
mipira na jezi zilitolewa kwa timu mbalimbali za vijijini na mashuleni pale ilipowezekana
kulingana na maombi. Jumla ya shilingi 1,450,000/=
2.8
Mengineyo
(a)
Kushiriki kwenye vikao
vya mfuko wa barabara Mbeya na Songwe.
(b)
Kushiriki kwenye kikao cha uchaguzi wa
wanafunzi wa kidato cha kwanza Mbeya Desemba 2015,
(c)
Kuongoza kamati ndogo
ya hesabu za serikali (PAC) ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
iliyojulikana kama kamati ya Lugumi kwa ajili ya kuchunguza mkataba na wizara
ya mambo ya ndani kupita Jeshi la polisi Tanzania,
(d)
Kushiriki kwenye
shughuri za jamii kama misiba, harambee makanisani, ambazo zimetumia zaidi ya
shilingi 3,200,000/=
(e)
Katika kipindi chote
cha Bunge kumekuwa na utaratibu wa kuwaaalika baadhi ya wananchi kutembelea bunge.
Katika safari tisa za Bunge jumla ya shilingi 27,460,000/= zilitumika.
2.9
Mchango
wa madawati
Katika
kipindi cha miaka 2 ½ kulikuwa na uhaba
mkubwa wa madawati kutokana na sera ya elimu bure. Wanafunzi waliongezeka sana.
Bunge la Jamhuri ya Muungano lilitoa madawati 537 kwa Mbunge wa Vwawa.
2.10 kuimarisha kimondo
cha mbozi ambapo jumla ya fedha zaidi ya 600,000,000/= zimetumika
3.0 Changamoto
Tangu kuchaguliwa kwake Mbunge wa Vwawa alikutana
na changamoto zifuatazo:-
i.
Gharama kubwa za
uendeshaji wa kesi ya uchaguzi iliyofunguliwa na Fanuel Mkisi wa chama cha
Demokrasia na maendeleo. Kesi hiyo iligharimu zaidi ya shilingi million
thelasin (30,000,000 ) hadi ilipotolewa hukumu tarehe 30 May 2016.
Tunawashukuru wote walio changia kwa hali na mali katika kufanikisha kesi hiyo.
ii.
Kutokuwa na ofisi ya
Mbunge iliyokamilika hadi sasa. Kutokana na kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Songwe
kulisababisha upungufu wa ofisi za wilaya ya Mbozi. Hivyo ofisi ya mbunge
ilihamishiwa eneo la mbimba katika jengo lilikuwa bado kukamilika huduma za umeme
na maji.
iii.
Kushindwa kukamilika
kwa mpango mkakati wa wilaya na vipa umbele vya wilaya na Jimbo
iv.
Serikali kuchelewa
kutoa fedha za kutekeleza miradi mbalimbali iliyoahidiwa kwenye Ilani ya
uchaguzi ya C.C.M ya mwaka 2015,
v.
Shule na Zahanati
nyingi kushindwa kukamilika ili zitumike kutoa huduma kwa wananchi,
vi.
Kuwepo na Wafanyakazi
wachache kwenye sekta za kilimo, ualimu na afya ikilinganishwa na mahitaji,halisi
ya wilaya,
vii.
Miundo mbinu mbalimbali
kuwa hafifu katika maeneo mengi ya Jimbo,
viii.
Ukosefu wa majengo mazuri
ya ofisi na hoteli za kisasa katika Jimbo laVwawa.
Hitimisho
Hali
na shauku ya maendeleo katika Jimbo ni kubwa sana. Raslimali watu na nyingineyo
pamoja na mahitaji ya vitendea kazi ni kubwa mno. Hivyo raslimali hizi
hazitoshi kabisa. Kazi kubwa ya Mbunge itakuwa kufuatilia na kuibua miradi ya
maendeleo ya Jimbo. Pia kushirikiana na viongozi wa chama katika kutafuta
raslimali za kujengea ofisi za chama na serikali katika maeneo mengi ya Jimbo.
Nawashukuru sana kwa
ushirikiano wenu. Kwa pamoja inawezekana.
JNH
Japhet N. Hasunga
Mbunge Jimbo la Vwawa
0 comments:
Post a Comment