Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,
Simon Sirro, akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa
Polisi wa Mashariki mwa Afrika, kwenye ukumbi wa AICC Arusha, Septemba
19.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,
Simon Sirro, akiwa teyari kupokea bendera ya Wenyekiti wa Shirikisho la
Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) kwenye ufunguzi
wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa nchi hizo, katika ukumbi wa AICC
Arusha, Septemba 19.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,
Simon Sirro, akikabidhiwa bendera ya Wenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa
Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) kutoka wa Mwenyekiti
aliyemaliza muda wake, Mkuu wa Jeshi la Polisi Sudan, Abdi Mohammed
Bashir, kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa nchi
hizo, katika ukumbi wa AICC Arusha, Septemba 19.2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,
Simon Sirro, akiwa ameshika bendera ya Wenyekiti wa Shirikisho la Wakuu
wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO), baada ya kukabidhiwa
Wenyekiti huo na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake, Mkuu wa Jeshi la
Polisi Sudan, Abdi Mohammed Bashir, kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa
Wakuu wa Polisi wa nchi hizo, katika ukumbi wa AICC Arusha, Septemba
19.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mkuu wa Jeshi la Polisi Sudan,
Abdi Mohammed Bashir na Mwenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi wa
Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) aliyemaliza muda wake,
akizungumza, kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa Nchi
za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO), katika ukumbi wa AICC Arusha,
Septemba 19.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, akihutubia kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa
Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO), katika ukumbi
wa AICC Arusha, Septemba 19.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa
ameshika ngao, aliyokabidhiwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania,
Simon Sirro, kwa niaba ya Rais Magufuli, kwenye ufunguzi wa Mkutano wa
21 wa Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO),
uliyofanyika katika ukumbi wa AICC Arusha, Septemba 19.2019. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akipeana mkono na Mkuu wa Jeshi la Polisi la Kongo DRC, kwenye ufunguzi
wa Mkutano wa 21 wa Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika
(EAPCCO), uliyofanyika katika ukumbi wa AICC Arusha, Septemba 19.2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akipeana mkono na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Simon Sirro, baada
ya kutoka kwenye ukumbi wa AICC Arusha, katika ufunguzi wa Mkutano wa 21
wa Wakuu wa Polisi wa Nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPCCO) Septemba
19.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 comments:
Post a Comment