Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mshauri Maalum wa Masuala ya Afya wa Taasisi ya
Tokushukai General Incorporated ambayo iko chini ya serikali ya Japan ,
Bw. Akio Egawa kwenye uwanja wa ndege wa Narita nchini Japan kabla ya
kuondoka kurejea nyumbani baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi
nchini humo, Septemba 2, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiagana na wafanyakazi wa hoteli ya Yokohama Bay nchini Japan alikokuwa
amefikia wakati alipoondoka kurejea nyumbani baada ya kumaliza ziara
yake ya kikazi, Septemba 2, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment