
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM,
akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Ofisi ya CCM ya Mkoa wa Geita,
Septemba 22, 2019. Wa tatu kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa
Geita, Alhaj Said Kalidushi, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi
Robert Gabriel na wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey
Mwanri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi wa Mkoa wa Geita wakifurahia baada ya
Waziri Mkuu kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya
Mkoa wa Geita na kukagua ujenzi wa Hospitali hiyo, Septemba 22, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mkoa wa Geita baada ya
kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita
Septemba 22, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Nyumba za Makazi za Wakuu wa Idara na
Vitengo wa Secretarieti ya Mkoa wa Geita, Septemba 22, 2019. Wengine
pichani kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,
Constantine Kanyasu, Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Geita, Alhaj Said
Kalidushi, Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel, Mkuu wa Mkoa
wa Tabora, Aggrey Mwanri na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Vicky
Kamata, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipofungua Nyumba za
Makazi za Wakuu wa Idara na Vitengo wa Secretarieti ya Mkoa wa Geita,
Septemba 22, 2019. Wengine pichani kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa
Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu, Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa
Geita, Alhaj Said Kalidushi, Mkuu wa mkoa wa Geita, Mhandisi Robert
Gabriel, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani,Mkuu wa Mkoa wa Tabora,
Aggrey Mwanri, Mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata na dulia ni Waziri
wa Madini, Doto Biteko. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment