Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Omar
Othman Makungu (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi(Gavu) na Naibu Waziri Nchi Ofisi
ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa n a Idara Maalum za SMZ
Shamata Shaame Khamis,(kulia) wakiwa katika hafla ya kuapishwa Wakuu wa
Mikoa Kusini na Mjini Magharibi leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar.[Picha na Ikulu.] 19/09/2019.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akimuapisha Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud kuwa Mkuu wa Mkoa wa
Kusini Unguja hafla leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla Ayoub alikuwa Mkku wa Mkoa wa mjini Magharibi,[Picha na Ikulu]. 19/09/2019.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali
waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa kwa Viongozi ambao ni Wkuu wa
Mikoa naRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar. [Picha na Ikulu]. 19/09/2019.
0 comments:
Post a Comment