Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo kutoka
kwa Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali kutoka Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili Dkt. Juma Mfinanga kuhusu hali za majeruhi 43 ambao
wanapatiwa matibabu mara baada ya kuungua miili yao katika ajali ya moto
iliyotokea mkoani Morogoro baada ya Lori la Mafuta kupinduka na
kuteketea kwa moto.

Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati
alipokuwa akiwajulia hali majeruhi wa ajali ya moto ambao wameletwa
kutoka mkoani Morogoro kwa ajili ya matibabu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwajulia hali majeruhi wa
ajali ya moto ambao wamelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili
mara baada ya kusafirishwa kutokea mkoani Morogoro.

Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi
mbalimbali katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili mara baada ya kutoka
kuwajulia hali majeruhi 43 wa ajali ya moto ambao wanapatiwa matibabu
katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. wakwanza
kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Profesa
Lawrence Museru na wa kwanza kulia ni Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya
Dharura na Ajali Dkt. Juma Mfinanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo kutoka
kwa Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali kutoka Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili Dkt. Juma Mfinanga kuhusu hali za majeruhi 43 ambao
wanapatiwa matibabu mara baada ya kuungua miili yao katika ajali ya moto
iliyotokea mkoani Morogoro. Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Profesa Lawrence Museru
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka katika kitengo cha
Dharura na kuelekea katika Wodi za Wagonjwa kwa ajili ya kuwajulia hali
majeruhi wa ajali ya moto.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka katika wodi ya
Sewahaji mara baada ya kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya moto.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo kutoka
kwa Bi. Rahel Kitwai Roita ambaye alikuwa akiomba asaidiwe gharama za
matibabu anazodaiwa kiasi cha Shilingi milioni tano zilizopelekea
kuzuiwa kwa mwili wa marehemu mama yake ambaye alifariki katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Rais Dkt. Magufuli amemuagiza
Mkurugenzi wa Hospitali ya Muhimbili Profesa Lawrence Museru aruhusu
mama huyo achukue mwili wa mama yake na deni hilo adaiwe yeye. Rais Dkt.
Magufuli ametoa rambirambi ya Shilingi laki tano kwa mama huyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na watoa huduma
manesi pamoja na madaktari ambao wanahudumia wagonjwa wa ajali ya moto
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea katika wodi ya
Kibasila kwa ajili ya kuwajulia hali majeruhi hao. PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment