Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiteta
jambo na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Fredrick Shoo
mara baada ya kuzindua Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro
International
leather Industries Co Ltd kilichojengwa kwenye eneo la Gereza Kuu la
Karanga Moshi mkoani Kilimanjaro jana.

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
zawadi ya viatu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dkt. Fredrick
Shoo kwa ajili ya mke wake mara baada ya
kumnunulia katika Kiwanda cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro
International
leather Industries Co Ltd kilichojengwa kwenye eneo la Gereza Kuu la
Karanga Moshi mkoani Kilimanjaro jana mara baada ya kukizindua.
PICHA NA
IKULU.
0 comments:
Post a Comment