Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City
mabao mawili dakika za 15 na 64 katika ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa
Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji, Bournemouth Uwanja wa Vitality.
Bao la pili la Man City limefungwa na Raheem Sterling dakika ya 43,
wakati la Bournemouth limefungwa na Harry Wilson dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI SOMA HAPA
Sunday, August 25, 2019
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa tena na maafisa wa polisi. ...
-
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wananchi wa Hai mara baada ya kuwasili Bo...
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
Marehemu Abdillah Salim Nyangasa 29 Januari, 1961- 03 Juni, 2020 Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) unasikitika kutangaza k...
-
Mkurugenzi wa uzingativu, ufuatiliaji na tathmini wa (NACTE) Jofrey Oleke akizungumza na waandishi wa habari juu y...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment