METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, June 4, 2020

ALIYEKUWA MENEJA NFRA KANDA YA SUMBAWANGA MAREHEMU MZEE ABDILLAH S. NYANGASA KUZIKWA MUHEZA-TANGA

Marehemu Abdillah Salim Nyangasa
29 Januari, 1961- 03 Juni, 2020
Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) unasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wake Bw. Abdillah Salim Nyangasa ambaye alikuwa Meneja wa Kanda ya Sumbawanga  kilichotokea tarehe 03 Mei, 2020.
Marehemu alianza kuugua Jumatatu tarehe 01/06/2020 na kufariki tarehe 03/06/2020 katika hospitali ya Mkoa wa Rukwa. Mwili wa Marehemu umesafirishwa kwenda Tanga  kwa mazishi ambayo yanatarajiwa kufanyika Muheza-Tanga.
Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema Peponi
AMEN

Imetolewa na:

Afisa Mtendaji Mkuu,
Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA),
Makao Makuu,
DODOMA.
Share:

7 comments:

  1. Rest in peace nyangasa๐Ÿ™

    ReplyDelete
  2. Inna lillah wainna ilayh rrajjiun!! Sisi sote ni wake Allah na kwake sote tutarejea!!

    ReplyDelete
  3. Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi kaka yetu kipenzi kwani alitutendea mema wakati wa uhai wake nasi hatutachika kumuombea siku zote bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

    ReplyDelete
  4. Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie. Apumzike kwa amani

    ReplyDelete

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com