

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza katika mkutano kwa njia ya video na Wakuu wa Mikoa
inayolima Pamba ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, Mara, Kagera,
Singida na Tabora akiwa jijini Dar es salaam, Agosti 3, 2019. Mkutano
huo pia ulimjumuisha, Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, Naibu Waziri wa
Kilimo, Hussein Bashe, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi
Stella Manyanya, Maofisa kutoka Benki Kuu ya Tanzania pamoja Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB ambaye pia ni Mwenyekiti wa wamiliki wa
Mabenki, Abdulmajid Nsekela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment