
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitazama mtambo wa simu wa zamani wakati alipotembelea makumbusho ya
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) iliyopo kwenye jengo la
EXTELECOMS HOUSE jijini Dar es salaam, Agosti 3, 2019. Kushoto kwake ni
Nibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya, kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Waziri Kindamba na Kulia ni Meneja wa Huduma
kwa Wateja wa TTCL, Laibu Leonard.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment