Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimpa pole , Shukuru Fabian ambye ni mmoja wa majeruhi wa ajali ya moto
wa lori la mafuta lililopinduka katika eneo la Msamvu mjini Morogoro.
Aliwajulia hali majeruhi wa ajali hiyo kwenye hospitali ya mkoa wa
Morogoro, Agosti 11, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimjulia hali, Hans Kifah ambaye ni mmoja wa majeruhi wa ajali ya moto
wa lori la mafuta lililopinduka kwenye eneo la Msamvu mjini Morogoro.
Aliwajulia hali majeruhi wa ajali hiyo kwenye hospitali ya mkoa wa
Morogoro, Agosti 11, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza katika ibada ya kuwaombea marehemu waliofariki katika ajali
ya moto wa lori la mafuta lililoanguka katika eneo la Msamvu mjini
Morogoro. Ibada hiyo ilifanyika kwenye viwanja vya hospitali ya mkoa wa
Morogoro, Agosti 11, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment