METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, June 22, 2015

hofu yatanda Zanzibar, askari wapiga mabomu angani ili kuhamisha daftari la kudumu la wapiga kura

 

Visiwani Zanzibar zoezi la uandikishaji wapiga kura katika daftari jipya la kudumu leo limeingia mjini Magharibi lakini kama ilivyotokea mkoa wa kasikazini ilibidi askari wa usalama kupiga risasi juu na mabomu ya machozi tukio lililozusha hofu wakati wa kuanza zoezi hilo.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com