METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, July 17, 2019

Waziri Mkuu afungua Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), wakati akikagua mabanda katika, kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mashine ya kutotolea vifaranga, iliyobuniwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM), kabla ya kufungua Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mita ya maji ya malipo ya kabla, iliyobuniwa na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Saint Joseph, Khadija Mustapha (kulia), kabla ya kufungua Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Meneja Usajili na Utambuzi (NIDA), Julien Bernard (kulia), kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mashine ya kutayarishia vitambulisho vya Taifa, wakati akikagua banda la (NIDA), kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019. Kulia ni Mtaalamu wa mashine hiyo, Marwa Mbolea. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha, baada ya ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Jacob Philip Mtabaji, wakati alipowasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja, kufungua Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Profesa Charles Kihampa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com