Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wanafunzi
wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), wakati akikagua mabanda katika, kwenye
ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia,
yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam,
Julai 17.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mashine ya kutotolea vifaranga, iliyobuniwa na wanafunzi
wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM), kabla ya kufungua Maonesho ya
14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja
vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mita ya maji ya malipo ya kabla, iliyobuniwa na mwanafunzi
wa Chuo Kikuu cha Saint Joseph, Khadija Mustapha (kulia), kabla ya
kufungua Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia,
yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam,
Julai 17.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akizungumza na Meneja Usajili na Utambuzi (NIDA), Julien Bernard
(kulia), kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na
Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es
salaam, Julai 17.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akiangalia mashine ya kutayarishia vitambulisho vya Taifa, wakati
akikagua banda la (NIDA), kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya
Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi
Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019. Kulia ni Mtaalamu wa mashine
hiyo, Marwa Mbolea. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa
Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha, baada ya ufunguzi wa
Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika
katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai
17.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Jacob Philip Mtabaji,
wakati alipowasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja, kufungua Maonesho ya
14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, jijini Dar es salaam, Julai
17.2019. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Profesa Charles Kihampa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment