METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, July 4, 2019

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Nchini Niger

  1. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mkuu wa Niger Mhe. Brigi Rafini alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Diori Hamani, Niamey Nchini Niger. Makamu wa Rais anamuwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa 12 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali kuhusu Eneo Huru la Biashara Afrika(African Continental Free Trade Area-AfCFTA) (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com