Kaimu mtendaji mkuu wa BRELA akipokelewa na Mkuu wa chuo cha Sanaa (TASUBA) Alipotembelea kuongoza ujumbe wa washiriki kutoka nchi mbalimbali waliofadhiliwa na shirika la miliki bunifu Duniani (WIPO) pamoja na shirika la maendeleo nchini Sweden (SIDA)
Mkufunzi wa chuo cha Sanaa TASUBA Christa Komba, Kheli Kaale akitoa maelezo kwa washiriki kuhusu studio ya muziki
Washiriki wa WIPO na SIDA wakijionea bidhaa mbalimbali za uchongaji wa vitu mbalimbali vya asili katika chuo cha Sanaa kilichopo Bagamoyo (TASUBA)
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Usajili wa Leseni na Biashara (BRELA) akiwaongoza wageni wake kutoka nchi mbalimbali kutembelea Sanaa na Makumbusho mbalimbali Bagamoyo leo

Mwakilishi Mkurugenzi wa (WiPO) Bw.Kiflie Senkurou aliyesimama (katikati) katika matembezi ya kujionea makumbusho ya Bagamoyo leo

0 comments:
Post a Comment