METDO Tanzania

METDO Tanzania

Saturday, October 10, 2020

KATIBU MKUU MWALUKO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA, NCHINI TANZANIA.

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji), Dorothy Mwaluko akielezea masuala ya uboreshwaji wa mazingira ya uwekezaji nchini kwa Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Mhe. Manfredo Fanti alipomtembelea na kufanya mazungumzo katika Ofisi yake iliyopo Mtaa wa Relini Jijini Dodoma, walikutana hii leo Oktoba 09, 2020.

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji), Dorothy Mwaluko akielezea masuala ya uwekezaji nchini kwa Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Mhe. Manfredo Fanti pamoja na Mkuu wa Idara ya Maendeleo na Mahusiano wa Umoja huo, Cedric Merel walipomtembelea na kufanya mazungumzo katika Ofisi yake iliyopo Mtaa wa Relini Jijini Dodoma.

Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Mhe. Manfredo Fanti akieleza jambo kwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji), Dorothy Mwaluko alipomtembelea na kufanya nae mazungumzo kuhusu masuala ya uwekezaji nchini.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com