METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, June 16, 2019

KIBABAGE AUNGANA NA MSUVA DIFAA EL JADID

Mlinzi wa  Mtibwa Sugar na Timu ya Tanzania vijana u20 Ngorongoro Heroes  Nickson Kibabage pamoja na Kiungo mshambuliaji wa kimatifa wa DR Congo,Jonathan Ifaso toka AS Nyuki wote wakiwa na umri wa miaka 20 wamejiunga na Klabu Difaa El Jadida ya Morocco kwa mkataba wa miaka minne kila moja.

Nickson Kibabage anakuwa mtanzania wa pili kujiunga na club hiyo ya Difaa El Jadid ya Morocco, baada ya Simon Msuva kujiunga na timu hiyo pia akitokea Yanga SC misimu miwili iliyopita.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com