![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/PMO_1719.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua ujenzi wa jengo la Shule ya Sekondari ya Lindi, Oktoba 12,
2019. Wa nne kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, Wa tatu
kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Rehema Madenge na wa pili kulia
ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/PMO_1692.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwapungia wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Lindi wakati alipowasili
shuleni hapo kukagu ujenzi wa jengo la shule hiyo, Oktoba 12, 2019. Wa
pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/PMO_1669.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira,
Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhamaga (wa pili kulia), Waziri
wa Vijana, Utamaduni na Michezo wa Zanzibar, Balozi Ali Karume (kulia)
na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi (wa pili kushoto) wakati
alipokagua maandalizi ya Uwanja wa Michezo wa Ilulu wa mjini Lindi kwa
ajili ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Oktoba 12, 2019. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment