Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Wilbroad Slaa leo akiwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mfalme Carl XVI Gustaf wa Sweden.
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Wilbroad Slaa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maofisa wa ofisi ya Mfalme wa Carl XVI Gustaf wa Sweden baada ya utambulisho
0 comments:
Post a Comment