METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, April 6, 2018

NAIBU KATIBU MKUU MAMBO YA NJE AKUTANA NA WAJUMBE WA KAMATI YA MAANDILIZI YA MAONESHO YA BIDHAA ZA VIWANDA VYA TANZANIA NCHINI KENYA

1.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhani Mwinyi akizungumza na wajumbe wa kamati maalum ya maandalizi ya maonesho ya bidhaa za viwanda vya Tanzania nchini Kenya mara kwa ajili ya kueleza mikakati mbalimbali ya kufanikisha Diplomasia ya Uchumi kuelekea Tanzania ya Viwanda.Kikao hicho kilifanyika leo Ijumaa April 6, 2018.
2.
Baadhi Wajumbe wa kamati ya maandalizi maandalizi ya maonesho ya bidhaa za viwanda vya Tanzania nchini Kenya wakifuatilia kwa makini maelekezo ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Ramadhani Mwinyi wakati wa kikao baina yao kilichofanyika leo Ijumaa April 6, 2018.
3.
Baadhi Wajumbe wa kamati ya maandalizi maandalizi ya maonesho ya bidhaa za viwanda vya Tanzania nchini Kenya wakifuatilia kwa makini maelekezo ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Ramadhani Mwinyi wakati wa kikao baina yao kilichofanyika leo Ijumaa April 6, 2018.
4.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramdhani Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) Edwin Rutageruki mara baada ya kumalizika kwa kikao baina ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya maonesho ya bidhaa za viwanda vya Tanzania nchini Kenya leo Ijumaa April 6, 2018.
5.
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Mafuta ya LAKEGAS, Rajesh Chidambarani (katikati) akibadilisha mawazo na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhani Mwinyi mara baada ya kumalizika kwa kikao baina ya kamati ya maandalizi ya maonesho ya bidhaa za viwanda vya Tanzania nchini Kenya leo Ijumaa April 6, 2018.
6.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhani Mwinyi (wa tano kushoto) akiwa katika picha ya pamoja baina yake na wajumbe wa kamati ya maandalizi ya maonesho ya bidhaa za Viwanda vya Tanzania nchini Kenya leo Ijumaa April 6, 2018.
7.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda (katikati) akibadilisha mawazo na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Ramadhani Mwinyi na Meneja Mkuu wa Kampuni ya mafuta ya LAKEGAS, Rajesh Chidambarani mara baada ya kumalizika kwa mkutano baina yao leo Ijumaa April 6, 2018.
(PICHA NA MAELEZO
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com