Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Gasper Byakanwa akiwasisitizia wajumbe wa mkutano
wa Kikao cha Utekelezaji randama ya ushirikiano wa usimamizi wa rasilimali za
misitu Kanda ya Kusini – Mtwara kuazimia kubadiri taratibu za kufanya biashara
ya mkaa kwa kuwataka wafaanyabiashara hiyo kulazimika kupanda shamba la miti
kabla ya kuruhusiwa kuvuna misitu kwa ajili ya kuchoma mkaa. Kikao hicho
kilifanyika leo tarehe 04/12/2017 katika Ukumbi wa Benki Kuu Mtwara ambapo Byakanwa
alikuwa mgeni rasmi.
Wednesday, December 6, 2017
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
Halmashauri za jiji la Dar es salaam zimetakiwa kuwa na kiwango kimoja cha tozo za ushuru wa takataka ili kuondoa matabaka ya ulipaji wa...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment