Wednesday, December 6, 2017

RC aagiza wasiopanda miti wasipewe vibali vya uchomaji mkaa

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Gasper Byakanwa akiwasisitizia wajumbe wa mkutano wa Kikao cha Utekelezaji randama ya ushirikiano wa usimamizi wa rasilimali za misitu Kanda ya Kusini – Mtwara kuazimia kubadiri taratibu za kufanya biashara ya mkaa kwa kuwataka wafaanyabiashara hiyo kulazimika kupanda shamba la miti kabla ya kuruhusiwa kuvuna misitu kwa ajili ya kuchoma mkaa. Kikao hicho kilifanyika leo tarehe 04/12/2017 katika Ukumbi wa Benki Kuu Mtwara ambapo Byakanwa alikuwa mgeni rasmi.


No comments:

Post a Comment