Bw,Fitsum Weldegiorgis ambaye anatoka Taasisi ya kimataifa ya Mazingirana na maendeleo(IIED ) akielezea namna ambavyo taasisi hiyo imekuwa ikifanya shughuli pamoja na sekta ya madini Nchini. |
Rebecca Burton ambaye anatoka taasisi ya Tiffany akizungumza namba ambavyo taasisi yao inafanya kazi wakati wa Mkutano wa majadiliano. |
Mtafiti
wa kampuni ya ushauri Dkt,Willson
Mtagwaba,akibainisha changamoto ambazo wamekutana nazo wakati wakifanya tafiti kwa wachimbaji wadogo.<!--[if gte mso 9]> |
0 comments:
Post a Comment