METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, October 20, 2017

RC GAMBO AFUNGUA KIKAO MKAKATI CHA SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) ARUSHA


Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza na wanachama wa baraza la wafanyakazi wa shirika la Bima la taifa leo jijini Arusha mara alipoalikwa kama mgeni ramsi kufungua kikao cha baraza hilo kilichofanyika katika ukumbi wa veta jijini Arusha jana
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akiwa pamoja na baadhi ya wajumbe na viongozi wa baraza la wafanyakazi wa shirika la Bima la Taifa leo katika ukumbi wa Veta jijini hapa mara bada ya kufungua mkutano wabaraza hilo
Baadhi ya wanachama wa baraza la wafanyazi wa shirika la Bima la Taifa wakiwa  katika mkutano wa baraza hilo uliofanyika leo ndani ya chuo cha Veta jijini Arusha,
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akinyanyua mikono na viongozi wa baraza la wafanyakazi wa Bima la Taifa leo katika mkutano wa baraza hilo uliofanyika katika chuo cha Veta jijini Arusha,kushoto kwake ni mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Bima la Taifa,Laston Msongole.
Mwenyekiti wa bodi ya shirika la Bima la Taifa,Laston Msongole aliyeshika kipaza sauti  akizungumza katika mkutano wa baraza la wafanyakazi wa shirika hilo jana katika ukumbi wa veta jijini hapa,pembeni yake ni mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com