Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa
(Mwenyesuti), akiangalia namna shughuli za upimaji wa magari
zinavyoendeshwa katika mzani wa Tinde, mkoani Shinyanga. Kushoto kwake
ni Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), wa mkoa huo, Mhandisi Mibala
Ndilindi.
Msimamizi wa shughuli za mzani wa
Tinde kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS),mkoani Shinyanga, Bw. Lugembe
Vicent (kushoto), akitoa taarifa ya kiutendaji ya mzani huo kwa Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa
Elias Kwandikwa. Mzani huo unapima magari 300 kwa siku.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa, akiangalia
namna watumishi wa mzani wa Tinde, mkoani Shinyanga wanavyopima na
kurekodi taarifa za magari yanaoingia kupima uzito kwenye mzani huo.
Magari yakiwa katika foleni kusubiri huduma za upimaji uzito ili kuendelea na safari kwenye mzani waT inde, mkoani Shinyanga.
Muonekano wa barabara ya Uyovu- Bwanga (KM 45) kwa kiwango cha lamii iliyopo mkoani Geita, ikiwa imekamilika kwa asilimia 98.
………………….
Wafanyakaziwamizaninchiniwametakiwakufanyakazikwaweledi, uadilifunakuachananavitendovyarushwailikuletatijanaufanisiwakazizao
katikausimamiajinaulinziwabarabaraambazoSerikaliimekuwaikitumiagharamakubwakatikaujenzi wake.
HayoyamesemwanaNaibuWaziriwaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano (SektayaUjenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa,
leomkoaniShinyanga, alipokuwaakikagua mzaniwaTinde(Shinyanga),
naMwendakulima (Kahama),
ambapoamesisitizaushirikianokatiyawafanyakazihaonamaderevailikutatuachangamotozinazojitokezakatika
vituovyamizani.
“Watumishinamaderevashirikianenikutokomezavitendovyarushwa,
kamwemsijihusishekutoawalakupokearushwailikupatahudumazaharaka,
tukikubainitutakuchukuliahatua kali zakisheria”,
amesemaNaibuWaziriKwandikwa.
Aidha,
ametoawitokwamaderevawamagariyamizigowanaotakiwakuwanastikamaalumzausafirishajiwamizigoyaokufuatautaratibuwakuchukuastikahizomahalihusikailikuepusha usumbufunamsongamanowamagarikatikavituovyamizani.
Akiwakatikaeneo la
sehemuyamaegeshonakulazamagarimjiniKahamaNaibuWaziriKwandikwa,
ametoawitokwaviongoziwaHalmashaurihiyokuchukuahatua kali
kwamaderevawanaopakinjeyaeneohilo,
ilikudhibitiuchafuziwamazingiraunaowezakufanywanabaadhiyamadereva hao.
AmeshaurikwauongoziwaHalmashaurihiyokuonanamnayakujengamaegeshomenginekamahayoilikupatachanzo
cha mapatonakusaidia kuujengamjikuwanaTaswiranzuri.
Kwaupande wake,
MenejawaWakalawaBarabara (TANROADS), mkoaniShinyanga,
MhandisiMibalaNdilindi,amethibitishakuwepokwavitendovyarushwakwabaadhiyawafanyakaziwamizaninchiniambapoamefafanuakatikakupambananasualahilokwawatumishiwamkoa
waketayarimweziuliopitaamewachukuliahatuazakinidhamuwatumishiwatatuwamzaniwaMwendakulima.
Naye,
MsimamiziwashughulizamzaniwaMwendakulimakutoka TANROADS Shinyanga, Bi
HeriethMonjesa,amesemakuwachangamotozamsongamanowamagarikatikamizanizinasabaishwanabaadhiyamaderevawamagariyamizigowanaotakiwakuwanastikamaalumzausafirishajiwamizigoyaokushindwakufuatautaratibu,
hivyokupelekeausumbufukwawahudumunawatumiajiwenginewamizani.
Katikahatuanyingine, NaibuWaziriKwandikwa,
amekaguabarabarayaUyovu- Bwanga (KM 45), ambapoujenzi wake
kwasasaumefikaasilimia 98
namkandarasiamebakishakazizaujenziwamiferejinauwekajiwaalamazabarabarani.
ImetolewanaKitengo cha MawasilianoSerikalini, WizarayaUjenzi, UchukuzinaMawasiliano.
0 comments:
Post a Comment