Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva nchini AY
amefunguka na kusema kuwa bifu kati ya msanii Mwana FA na Lady Jaydee
yeye ilikuwa inamsumbua sana na kusema aliamini ipo siku wanaweza
kumaliza tofauti zao.
AY amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL)
na kusema kuwa kwa kuwa yeye alikuwa ni rafiki wa wasanii hao wote hivyo
ilikuwa inampa ugumu kuona watu hao wanashindwa kupiga hata stori.
Bongo Movies
Saturday, October 28, 2017
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Waziri wa Kilimo Mhe Hasunga (Mb) Mwenye Tai, akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa kampuni mbalimbali zinazojihusisha na uzalish...
-
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amefunga mashindano ...
-
Na Debora Charles (Mtakwimu) Sensa ya watu na makazi ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini na kuchapisha na kusamba...
-
Mbunge wa Jimbo la Buchosa Mkoani Mwanza Mhandisi Dkt Charles Tizeba akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji na kata ya Buky...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment