Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimpa Pole, Bi. Maudia Abdaallah ambaye ni Mjane wa Mjumbe wa Mkutano
Mkuu wa CCM wilaya ya Ruangwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya
wilaya ya Ruangwa, Marehemu Selemani Bakari wakati alipokwenda kuhani
msiba huo, Majohe, Ilala jijini Dar es salam Septemba 25, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na waombolezaji katika msiba wa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa
CCM wilaya ya Ruangwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya
Ruangwa , Marehemu Selemani Bakari wakati alipokwenda Majohe wilayani
Ilala jijini Dar es salaam kuhani msiba huo, Septemba 25, 2017.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Post a Comment