Mkurugenzi Mkuu wa AZAM Media ndugu Tido Mhando (Kulia) akimkaribisha
Mkurugenzi wa Kampuni ya Maxcom Africa PLC – Eng. Juma Rajabu (wa
kwanza Kushoto) akiwa na Ndugu Charles Hilary na Yusuf Mohamed
Uongozi wa Kampuni ya Maxcom Africa PLC leo mapema wamefanya ziara
katika kituo cha utangazaji cha AZAM TV na kukutana na Uongozi wa
Kampuni ya AZAM Media na kufanya mazungumzo.
Katika Mazungumzo hayo, Wakurugenzi wa kampuni ya Maxcom Africa PLC
na AZAM Media wamepanga kuimarisha Ushirikiano wao kibiashara katika
Nyanja mbalimbali ikiwamo ya kuwezesha malipo mbalimbali kielekroniki na
Ubunifu wa mifumo ya kielektroniki.
Mkurugenzi wa Azam Media ndugu Tido Mhando akifafanua Jambo kwa
Wakurugenzi wa Kampuni ya Maxcom Africa PLC walipotembelea Ofisi za Azam
Media
Baadhi ya watendaji wa Maxcom Africa PLC waliotembelea studio za AZAM
Baadhi ya watendaji wa Maxcom Africa PLC waliotembelea studio za AZAM
0 comments:
Post a Comment