Meneja Miradi wa Tamasha la Vijana, Churchill Shakim akiongoza mjadala wa kuichambua agenda ya vijana kuhusu bajeti kwenye nyanja mbalimbali ili serikali kuweza kufanikisha malengo hayo kwa vijana. (Picha zote na Geofrey Adroph)
Mkurugenzi mtendaji wa Africa Youth
Trust(AYT), Nahashon Gulali akizungumza na vijana waliokutana kujadili
na kubadilishana mawazo kuhusu bajeti hasa kwenye vipaumbele vya vijana
kwenye bunge la bajeti linaloendelea mjini Dodoma.
Katibu Mtendaji wa TYVA na mratibu wa
mtandao wa asasi za Vijana Tanzania, Ndugu Saddam Khalfan akitolea
ufafanuzi baadhi ya maswali yaliyokuwa yakiulizwa wakati wa kujadali na
kufanyia uchambuzi bajeti hasa kwa kwenye mfuko wa vijana kwa mwaka
2017/18 uliofanyika katika ukumbi wa Wanyama jijini Dar es Salaam.
Msimamizi wa Mradi kutoka AYT
akiwasilisha kuhusu umuhimu wa vijana katika mpango wa bajeti ili kuweza
kuinuka kiuchumi pamoja na kutolea ufafanuzi kuhusu taasisi ya AYT
pamoja namradi wa Youth Action for Development effectiveness(YADE) kwa
vijana waliokutana ili kujadili vipaumbele vya vijana kwenye bajeti ya
mwaka 2017/18 kwenye mkutano uliofanyika katika hoteli ya Wanyama jijini
Dar leo.
Baadhi ya vijana wakichangia mada wakati
wa kuichambua agenda ya vijana iliyoandaliwa kuhusu mikakati ya bajeti
kwa vijana kwenye mkutano uliowakutanisha vijana kujadili na
kubadilishana mawazo kuhusu bajeti hasa kwenye vipaumbele vya vijana
Baadhi ya magroup ya vijana
wakijadiliana kuhusu changamoto pamoja nakuja suluhisho kwenye masuala
ya msingi ya vijana hasa kuwezeshwa kiuchumi kupitia bajeti ya mwaka
2017/18.
0 comments:
Post a Comment