Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akisalimiana na wakazi wa Magorofani baada ya kuwasili kwa ajili ya ufunguzi wa barabara hiyo.
Balozi wa Mkuyuni Yahaya Butalotwa(mwenye shati nyekundu) akimsimlia jambo na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko
Vijana wakiwa tayari kwa ajili ya mashindano ya Baiskeli kwenye barabara hiyo mpya
Wanakwaya wa kanisa la ufufuo na uzima maarufu kama MUNGU WA BENDERA wakitumbuiza katika mkutano huo wa ufunguzi wa barabara.
Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko na Diwani wa Kata ya Igulwa Mhe. Richard Mabenga kwa pamoja wakishiriki kuimba.
Askofu wa Kanisa la ufufuo na uzima(Bendera) akifanya maombi kabla ya mkutano kuanza.
Diwani wa Kata ya Igulwa Mhe. Richard Mabenga akizungumza katika ufunguzi huo wa barabara la Butambala- Magorofani uliofanywa na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko.
Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akizungumza na wananchi wa Kata ya Igulwa pamoja nq kata jirani katika ufunguzi huo wa barabara.
Sunday, July 9, 2017
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Kiongozi wa upinzani, Kizza Besigye akisindikizwa na maofisa wa gereza la Luzira alikokuwa akishikiliwa Kiongozi w...
-
HOTUBA YA KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA ISIMANI KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI MWAKA 2015 UTANGULIZI UTA...
-
Na. Meleka Kulwa- Dodoma. Katika hatua inayotajwa kuwa mwanga mpya kwa vijana wanaokabiliwa na changamoto za afya ya akili, Chuo K...
-
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba ya chakula walichonacho na waepuke matumizi yasiyofaa kutokana na hali...
-
Na Mwandishi Wetu- Dodoma Wanachama wa Klabu ya Waandishi wa Habari mkoani Dodoma, leo 31 Desemba 2025, wameishukuru Mamlaka ya Udhibiti ...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment