Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akisalimiana na wakazi wa Magorofani baada ya kuwasili kwa ajili ya ufunguzi wa barabara hiyo.
Balozi wa Mkuyuni Yahaya Butalotwa(mwenye shati nyekundu) akimsimlia jambo na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko
Vijana wakiwa tayari kwa ajili ya mashindano ya Baiskeli kwenye barabara hiyo mpya
Wanakwaya wa kanisa la ufufuo na uzima maarufu kama MUNGU WA BENDERA wakitumbuiza katika mkutano huo wa ufunguzi wa barabara.
Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko na Diwani wa Kata ya Igulwa Mhe. Richard Mabenga kwa pamoja wakishiriki kuimba.
Askofu wa Kanisa la ufufuo na uzima(Bendera) akifanya maombi kabla ya mkutano kuanza.
Diwani wa Kata ya Igulwa Mhe. Richard Mabenga akizungumza katika ufunguzi huo wa barabara la Butambala- Magorofani uliofanywa na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko.
Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akizungumza na wananchi wa Kata ya Igulwa pamoja nq kata jirani katika ufunguzi huo wa barabara.
Sunday, July 9, 2017
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Na Faustine Ruta, Bukoba. Mchungaji King James wa Kanisa la Pentekoste Assemblies of God (P.A.G) kutoka Maeneo ya Ka...
-
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akizungumza na Mwenyekiti wa MISATAN Tanzania, Bi. Salome Kitomari (hayupo pichani) p...
-
Katibu Tawala Wilaya ya Ikungi, Winfrida Funto akizungumza na washiriki wa Kongamano la Vijana la Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanz...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment