Choo kwa ajili ya wagonjwa
Nyumba ya Matabibu
Diwani wa Kata ya Katome Mhe. Paul Mhangwa akizungumza na wakazi kijiji cha Mienze na vijiji jirani waliohudhuria kwenye ufunguzi huo wa Kituo cha Afya cha Kata ya Katome uliofanywa na Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko.
Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akizungumza na wakazi Kijiji cha Mienze na vijiji jirani waliohudhuria kwenye ufunguzi huo wa Kituo cha Afya cha Kata ya Katome na kuwasisitiza kushirikiana na wataam wa huduma ya Afya ili kuwatia moyo wa kufanya kazi kikamilifu sambamba na kuwapongeza kwa kujitoa kwao katika shughuli za maendeleo ya jamii.
Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko akikata utepe tayari kwa ufunguzi wa Kituo hicho cha Afya Kata ya Katome.
Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Mashaka Biteko wakiwa ndani na baadhi ya watalam wa huduma ya Afya baada ya ufunguzi.
0 comments:
Post a Comment