Kisukari
ni tatizo la kiafya linalo wasumbua na kuwatesa mamilioni ya
watu duniani. Miongoni mwa dalili za ugonjwa wa kisukari ni
pamoja na
i. Kukojoa mara kwa mara ( Watoto kukojoa kitandani )
ii.Kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati.
iii.Kuwa dhaifu, kukosa nguvu na kujisikia mchovu kila wakati.
iv.Kupungua
uzito kwa kasi au kukonda pamoja na kwamba unakula vizuri tena
kila wakati kwa sababu ya kusikia njaa kila wakati
kunakosababishwa na maradhi ya kisukari
v.Wanawake kupatwa na tatizo la kuwashwa ukeni.
vi.Kupoteza uwezo wa Kuona vizuri.
vii.Wanaume
kupatwa na tatizo la ukosefu na / ama upungufu wa nguvu za
kiume na wanawake kukosa hamu ya tendo la ndoa.
viii.Kupatwa
na ganzi, kusikia hali ya kama kuchomwachomwa au kutohisi
chochote pindi unapoguswa kwenye sehemu za miguu, viganjani na
kwenye vidole.
ix.Miguu kuoza na hata kupata gangrini.
x.Kukaukwa na ngozi na pia kupata aina ya ngazi katika miguu.
xi.Vidonda au majeraha sehemu yoyote ya mwili kutopona haraka.
xii.Kutokwa na Majipu kwenye sehemu mbalimbali mwilini.
Kwa
mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu , watu walio katika
makundi yafuatayo wapo katika hatari kubwa ya kupatwa na ugonjwa
wa kisukari kuliko watu wengine. Watu hao ni kama ifuatavyo :
i. Watu wenye uzito uliozidi,
ii.Watu wanao toka katika familia zenye historia ya kuwa na wagonjwa wa kisukari.
iii.Wanawake waliozaa watoto wenye kilo 4 au zaidi,
iv. Watu wasio fanya mazoezi
v. Wagonjwa wa shinikizo la damu,
vi.Watu wenye kiasi kikubwa cha lehemu mbaya ( Bad Cholestrol ) kwenye damu.
vii.Watu
wenye virimba tumo ( vitambi): Wataalamu wa afya wanaeleza
kuwa, kuna hatari kubwa ya kupatwa na maradhi ya kisukari ikiwa mtu
ana mafuta mengi katika tumbo na kiuno chake kuliko katika mapaja yake.
Mafuta katika kongosho na ini huvuruga uwezo wa mwili wa kudhibiti kiasi
cha sukari kwenye damu
viii.Watu wenye msongo wa mawazo na
ix.Watu
wanao tumia pombe na kupita kiasi pamoja na wale wavutaji wa
sigara kupita kiasi: Wavutaji wa sigara wanakabiliwa na hatari kubwa
zaidi ya kupatwa na tatizo la kisukari,kwani kwa mujibu wa
tafiti mbalimbali za kitaalamu, uvutaji sigara huathiri moyo na
mfumo wa mzunguko wa damu na kubana mishipa ya damu. Tafiti
mbalimbali za kiafya zinaeleza kwamba asilimia 95 ya watu wanaougua
kisukari ambao hulazimika kukatwa viungo ni wavutaji wa sigara.
x.
Kundi jinginge la watu walio katika hatari ya kupatwa na
maradhi ya kisukari ni watu wenye umri mkubwa kuanzia miaka 55
na kuendelea
Wataalamu
wa afya wanashauri watu walio kwenye orodha iliyo tajwa hapo
juu, kujiwekea utaratibu wa kuwa wanapima afya zao walao mara
moja kila mwakaili waweze kuchukua hatua stahiki za kiafya
endapo watakutwa na tatizo la sukari.
TIBA ASILIA KWA WAGONJWA WA KISUKARI
Zipo
tiba asilia mbalimbali zinazo saidia kkupunguza maradhi ya
kisukari. Miongoni mwa tiba hizo ni pamoja na tiba ijulikanayo
kama Mkatasukari. Tiba hii inasaidia kushusha na kudhibiti
kiwango cha sukari kwa mgonjwa mwenye sukari ya kupanda. Kama
unasumbuliwa na maradhi ya kisukari ( Sukari ya kupanda ), unaweza
kujaribu kutumia tiba hii.
JINSI YA KUANDAA TIBA ASILIA YA MKATASUKARI
Mahitaji ;
i. Nanasi moja kubwa
ii. Majani ya chai vijiko vitatu vya chakula
iii. Maji lita tano
iv. Dawa asilia ya Mkatasukari vijiko vikubwa vitatu.
MATAYARISHO:
Chukua nanasi lako lililo iva vizuri, limenye kisha likate
vipande vidogo vidogo, kisha liweke kwenye sufuria halafu ndani
ya sufuria hilo, ongeza lita tano ya maji safi. Baada ya hapo
weka majani ya chai vijiko vikubwa vitatu, kisha ongeza vijiko
vikubwa vitatu vya dawa asilia ya Mkatasukari, kisha chemsha kwa
muda wa dakika thelathini (30).
Baada
ya dakika thelathini, ipua na uchuje, makapi weka pembeni,
kisha hifadhi kimiminika chako kwenye chombo safi.
MATUMIZI :
Tumia
kunywa kikombe kidogo chenye ujazo milimita mia mbili na hamsini
( 250 mills ) au robo lita kwa lugha nyepesi. Utafanya hivyo
mara tatu kwa siku, asubuhi mchana na jioni hadi dozi yako
itakapo kamilika.
Baada
ya kutumia dozi hii, unashauriwa kwenda hospitali kupima tena
sukari ili ujue sukari yako imeshuka kwa kiasi gani pamoja na
kupata ushauri wa daktari wako.
Kwa
mahitaji yako ya tiba asilia ya Mkatasukari, fika katika duka
la NEEMA HERBALIST. Tunapatikana UBUNGO jijini DAR ES SALAAM,
jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING nyuma ya
jengo la UBUNGO PLAZA.
Kwa
wateja wetu waliopo jijini DAR ES SALAAM, ambao hawawezi kufika
ofisini kwetu., tunatoa huduma ya kuwapelekea dawa mahali walipo
( HOME & OFFICE DELIVERY ), kwa wateja waliopo Zanzibar
watasafirishiwa dawa kwa njia ya usafiri wa boti, kwa wateja
waliopo mikoani watatumiwa dawa kwa njia ya usafiri wa mabasi
mbalimbali. Wateja waliopo NAIROBI na MOMBASA watatumiwa dawa kwa
njia ya usafiri wa mabasi mbalimbali.
Na kwa wateja waliopo UGHAIBUNI watatumiwa dawa kwa njia ya POSTA au DHL.
Wasiliana nasi kwa simu namba 0766 53 83 84
Na kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu, tutembelee kila siku katika blogu yetu ;
0 comments:
Post a Comment