Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. A.P.
Makakala akieleza jambo kwa Mufti Mkuu wa Tanzania , Sheikh Abubakary
Zubeiry bin Ally, alipomtembelea Mufti Ofisini kwake Kinondoni
jana asubuhi.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. A.P.
Makakala akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ofisini kwa
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally, jana asubuhi
Makao Makuu ya BAKWATA, Kinondoni, Dar es Salaam. Katikati ni Mshauri wa
Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Khalid.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. A.P.
Makakalla akiwa katika picha ya pamoja na Mufti Mkuu wa Tanzania,
Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally, pamoja na baadhi ya Masheikh na
Maafisa wa Ofisi ya Mufti jana asubuhi Makao Makuu ya BAKWATA,
Kinondoni, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment