Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari
(MAELEZO) Bibi. Zamaradi Kawawa akizungumza wakati wa Mkutano baina ya
waandishi wa habari, wawakilishi kutoka Kituo cha Utamduni cha Irani
pamoja na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo leo jijini Dar
es Salaam.Kituo cha utamaduni cha Iran kimeaandaa maonyesho ya utamaduni
yatakayofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, kuanzia terehe 10
– 12 Februari kwa kuonyesha tamaduni kutoka Iran. Kutoka kulia Kutoka
kushoto ni Msaidizi wa Kituo cha Utamaduni wa Iran nchini Tanzania Bibi.
Fatma Ally, Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa Iran
nchini Ali Bagheni na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya
Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hajjat
Shani Kitogo.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo
ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hajjat
Shani Kitogo (wa pili kutoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari
kuhusu maonyesho ya Utamaduni wa Iran leo jijini Dar es Salaam.
Maonyesho hayo yanatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya
Taifa, kuanzia na terehe 10 – 12 Februari kwa kuonyesha tamaduni kutoka
Iran. Kutoka kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO)
Bibi. Zamaradi Kawawa, Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa
Iran nchini Ali Bagheni na Msaidizi wa Kituo cha Utamaduni wa Iran
nchini Tanzania Bibi. Fatma Ally.
Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka
Ubalozi wa Iran nchini Ali Bagheni akizungumza na waandishi wa habari
kuhusu maadhimisho ya wiki ya utamaduni wa Iran inayotarajiwa kufanyika
kuanazia tarehe 10 – 12 Februari leo jijini Dar es Salaam. Kutoka
kushoto ni Msaidizi wa Kituo cha Utamaduni wa Iran nchini Tanzania Bibi.
Fatma Ally na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni
kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hajjat Shani
Kitogo.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari
(MAELEZO) Bibi. Zamaradi Kawawa akiwa katika picha ya pamoja na
wawakilishi kutoka Kituo cha Utamduni cha Iran walioambatana na wasanii
kutoka Irani pamoja na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na: Frank Shija – MAELEZO.
0 comments:
Post a Comment