Mkurugenzi wa Mtandao wa
www.fullshangweblog.com Bw. John Bukuku akipokea cheti cha kuhitimu
mafunzo ya uandishi wa habari (Multmedia Journalisim) kutoka kwa
Mkufunzi Ricci Shriyock kutoka nchini Senegal mara baada ya kuhitimu
mafunzo hayo yaliyoandaliwa , kufadhiliwa na Kufanyika kwenye Ubalozi
wa Marekani jijini Dar es salaam nchini Tanzania washiriki wa mafunzo
hayo ambao ni wanahabari wa Mitandao ya kijamii wamekabidhiwa
wamekabidhiwa vyeti hivyo Ubalozini hapo.(PICHA KWA HISANI YA UBALOZI WA
MAREKANI)
Mwanablog Shamim Mwasha wa 8020fashion akipokea cheti chake.
Mwanablog Freddy Njeje wa Blog za Mikoani akipokea cheti chake.
Mwanablog Josephat Lukaza wa Lukazablog akipokea cheti chake.
Mwanablog Vero kutoka mkoani Arusha akipokea cheti chake.
Katibu Msaidizi wa Chama cha Mabloga
Tanzania Bloggers Network Krantz Mwantepele ambaye pia alikuwa mratibu
wa mafunzo hayo akipokea cheti chake.
Miss Populler akipokea cheti chake mara baada ya mafunzo hayo.
Washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia mada zilizotolewa.
Maofisa wa Ubalozi wa Marekani pamoja na Mkufunzi huyo wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo hayo .
Mkufunzi wa Mafunzo hayo Ricci Shryock akifafanua jambo kwa washiriki wa mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wakifurahia jambo kutoka kwa mkufunzo huyo wakati wa mafunzo hayo.
0 comments:
Post a Comment